Hivi Kilango ni nani?

Ni Anna Kilango-Malecela ambaye ni mke wa John Samwel malecela . Vile vile mama huyu ni Mbunge wa Same. More story visit website ya bunge upate wasifu wake.
 
kilango ni mbunge wa same mashariki ambaye kwa upande ni fisadi na kwa upande ni mwanasiasa safi.
 
Anna Kilingo ni Mbunge wa ccm na nifisadi kama walivyo mafisadi wenzake ndani ya ccm, mungu amemjaalia ana uwezo wa kupepeta mdomo hata kumzidi mzaramo Sophia Simba, Samwel Sita ndio alimsaidia kumpandisha chati pale walipofanikiwa kuwalaghai watanzani wakizani wanapinga ufisadi kumbe walikuwa wanawakumbusha watawala wasiwasahau wale wote. mpaka leo hajawahi kukanusha tuhuma nzito kwamba walipewa mamilioni na Jeetu Patel kugharamia harusi yao na mzee Malecela. kwangu mimi huyu ni mbaya kuliko Rostam Azizi maana hawa ni vinyonga, au unaweza kumuita popo, huwa hawajulikani kama ni ndege au mnyama.
 
"kwangu mimi huyu ni mbaya kuliko Rostam Azizi maana hawa ni vinyonga, au unaweza kumuita popo, huwa hawajulikani kama ni ndege au mnyama".

Na kweli mkuu Saigon.
 
mamakunda namaanisha ni nani katika serikali maana anapepeta mdomo mimate ianamwagika kama leo anongea kuhusu mikopo anaitetea oo same hakuendeki bila magari oo wabunge wengine wanapinga yaani anazania kila mtu ana view kama zake? mimi binafsi ananikerehesha hana point na ndo bingwa wa kuzomea hata watoto wake nadhani wanamshangaa kama sio kuaibisha watoto wake
 
Huyu Anna Kilango ni opportunistic mkubwa, na siku nyingi alikuwa akitamani kuingia kwenye SIASA kwa kutumia migongo ya wanaume.

Aliwahi kuwa na mapenzi ya kingono na Kitwana Kondo lengo likiwa atumie umaarufu na pesa za Kitwana Kondo kupata ubunge wa UBUNGO. Aliingia kwenye kinyang'anyilo cha ubunge wa ubungo na Keenja mwaka 2000. Kilango aliongoza karibu vituo vyote 90% wakati wa kura za maoni dhidi ya Keenja. CCM kwa hila kwasababu walikuwa wanamtaka Keenja (Alikuwa mkurugenzi wa Jiji la DSM inaamika alifanya vizuri). CCM wakafuta matokeo ya vituo 10% vilivyokuwa vimebaki na kuitisha kura upya za maoni, na safari ya pili Keenja akamshinda.

Wote mnakumbuka jinsi Keenja alivyomchakachua Mnyika kwenye general election 2005 kwasababu alianza kwenye kura za maoni CCM, notorious mchakachuaji.

Kunona hivyo Kilango akamtafuta kwa udi na uvumba mzee Malechela ili aweze kumsaidia kupata ubunge wa Same Mashariki baada ya kuona Ubungo kumekuwa kuchungu.

Kwa kutumia mwanya wa lonely wa Mzee Malecela baaada ya kufiwa na mke wake (RIP). Kilango akaweza "kumbaka" mzee Malecela. Kwakuwa the ultimate goal ya Kilango ilikuwa sio mzee Malecela bali to enter into politics, akatumia influence ya mzee Malecela na nguvu ya pesa ya Jeet Patel kupata ubunge wa Same Mashariki 2005.

The rest is history, huyo ndiyo Anne Kilango, bado ana shauku kubwa ya kupata uwaziri, lakini kwa hili nina mshukuru JK kutoku mchangua najua ni kwasababu alimuangusha Daniel Yona rafiki ya JK kwenye kinyang'anyilo cha ubunge lakini imetusaidia Watanzania kuondokana na Mama mnafiki mkubwa.

Nasikia ni mpenzi sana wa hadithi za Cleopatra na yeye anaamini sana kwa hilo.
 
sijawahi kuona kaanzisha hoja yake mwenyewe yenye mashiko,yeye zake ni kudandia hoja za CDM,ninachojua mimi sauti yake ni kali inaweza ukamistake kuwa anaongea point kumbe the opposite is true,..ana historia ya kaufisadi,alipokea dirty money from patel,..that's kilango in small perspective
 
Anna Kilingo ni Mbunge wa ccm na nifisadi kama walivyo mafisadi wenzake ndani ya ccm, mungu amemjaalia ana uwezo wa kupepeta mdomo hata kumzidi mzaramo Sophia Simba, Samwel Sita ndio alimsaidia kumpandisha chati pale walipofanikiwa kuwalaghai watanzani wakizani wanapinga ufisadi kumbe walikuwa wanawakumbusha watawala wasiwasahau wale wote. mpaka leo hajawahi kukanusha tuhuma nzito kwamba walipewa mamilioni na Jeetu Patel kugharamia harusi yao na mzee Malecela. kwangu mimi huyu ni mbaya kuliko Rostam Azizi maana hawa ni vinyonga, au unaweza kumuita popo, huwa hawajulikani kama ni ndege au mnyama.

Nakukubali Saigon, huyu mama ni Gold Digger, hata kuolewa kwake na Malecela ni kutaka kudhulumu mali za urithi za watoto wa Malecela atakapotangulia mbele ya haki. Huyu mama ni fisadi hana mfano uliza aliondokaje pale Gulf Air? Ni traffikker wa cocaine na yupo tayari kufanya lolote kwa ajili ya kupata mafedha
 
....Anna Kilango Malecela....Jamani yeye akuwai kuwa na mume before kuolewa na Mr Malecela....?
 
"kwangu mimi huyu ni mbaya kuliko Rostam Azizi maana hawa ni vinyonga, au unaweza kumuita popo, huwa hawajulikani kama ni ndege au mnyama".

Na kweli mkuu Saigon.

Ukishindwa kupata data zake jaribu za equivqlent wake kama Asha baraka, Khadija Kopa au Sofia simba
 
....Anna Kilango Malecela....Jamani yeye akuwai kuwa na mume before kuolewa na Mr Malecela....?

Mkuu wa mujibu wa mahojiano yake na Suzan Mungy wa TBC1 kwenye kipindi cha ua letu nilimsikia Anna akisema alikuwa na mume ambaye walizaa naye watoto kadhaa kisha wakaachana. Anasema aliachiwa watoto na kuwatunza kwa kuuza genge. Ila najua alikuwa mwalimu wa masomo ya biashara pale Kisutu Girls Secondary School na amewahi kufanya kazi ATC ya wakati huo.
 
Huyu Anna Kilango ni opportunistic mkubwa, na siku nyingi alikuwa akitamani kuingia kwenye SIASA kwa kutumia migongo ya wanaume.

Aliwahi kuwa na mapenzi ya kingono na Kitwana Kondo lengo likiwa atumie umaarufu na pesa za Kitwana Kondo kupata ubunge wa UBUNGO. Aliingia kwenye kinyang'anyilo cha ubunge wa ubungo na Keenja mwaka 2000. Kilango aliongoza karibu vituo vyote 90% wakati wa kura za maoni dhidi ya Keenja. CCM kwa hila kwasababu walikuwa wanamtaka Keenja (Alikuwa mkurugenzi wa Jiji la DSM inaamika alifanya vizuri). CCM wakafuta matokeo ya vituo 10% vilivyokuwa vimebaki na kuitisha kura upya za maoni, na safari ya pili Keenja akamshinda.

Wote mnakumbuka jinsi Keenja alivyomchakachua Mnyika kwenye general election 2005 kwasababu alianza kwenye kura za maoni CCM, notorious mchakachuaji.

Kunona hivyo Kilango akamtafuta kwa udi na uvumba mzee Malechela ili aweze kumsaidia kupata ubunge wa Same Mashariki baada ya kuona Ubungo kumekuwa kuchungu.

Kwa kutumia mwanya wa lonely wa Mzee Malecela baaada ya kufiwa na mke wake (RIP). Kilango akaweza "kumbaka" mzee Malecela. Kwakuwa the ultimate goal ya Kilango ilikuwa sio mzee Malecela bali to enter into politics, akatumia influence ya mzee Malecela na nguvu ya pesa ya Jeet Patel kupata ubunge wa Same Mashariki 2005.

The rest is history, huyo ndiyo Anne Kilango, bado ana shauku kubwa ya kupata uwaziri, lakini kwa hili nina mshukuru JK kutoku mchangua najua ni kwasababu alimuangusha Daniel Yona rafiki ya JK kwenye kinyang'anyilo cha ubunge lakini imetusaidia Watanzania kuondokana na Mama mnafiki mkubwa.

Nasikia ni mpenzi sana wa hadithi za Cleopatra na yeye anaamini sana kwa hilo.

Mkuu umesahau!! Target yake hapa ilikuwa ni mwanamke wa kwanza (first lady) hadi akamdanganya mzee JSM aamue kujiita dume la mbegu, bulldozer na maneno kibao!!
 
Back
Top Bottom