Mtazamo:IQ na uongozi

Mtazamo:IQ na uongozi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,952
Reaction score
166,303
Hivi viongozi bora duniani wote ni watu wenye IQ za kiwango cha juu?Hapa baba wa taifa bila shaka ni mfano mzuri.Sasa swali ni kwanini IQ test isiwe kigezo cha ziada cha kupata kiongozi(an added advantage)?

Viongozi kuvurunda,kufanya maamuzi mabovu,kutoa kauli zisizotarajiwa kama matusi,kuropoka n.k havina uhusisno na kiwango cha IQ zao?

Kama kuna mtu ana taarifa za kitafiti juu ya swala la IQ na uwezo au ubora wa kiongozi ni vema akutuweka sawa.

Academic qualifications na sifa nyingine pekee kwa kiongozi naona havitoshelezi labda wakati umefika wawe wanafanyiwa IQ test kabla ya kupewa zamana za uongozi.
 
Uongozi better EI, ila inapendeza zaidi akiwa na zote EI na IQ
 
Wataibika, maana kuna watu wanaongoza kwa kutumia akili za watoto wao na wake zao
 
Kwa maoni yangu, hata kama kiongozi ana IQ ya hali ya juu, ni lazima aweze kutumia na kushirikiana na wenzake waliochaguliwa kidemokrasia na wataalamu katika fani zote zihusianazo na nchi yake.

Sina hakika kama IQ inaweza kumfanya kiongozi awe jasiri, asiyevumilia wizi wa mali ya umma, mzalendo, mwenye huruma na wanyonge, mwenye kutosheka na asiyetamani utajiri wa haraka haraka. Haya ni baadhi ya balaa zinazokumba nchi yetu kutokana na aina ya uongozi tulio nao.
 
Iq nikitumuhimu sana katika uongozi wajambo lolote, lakini siopekeyake inatosha. Kwasbbu uongozi ni taasisi, inategemea mfumo mnaotumia, nanamna mipango yenu na malengo yenu mnavyo tekeleza mambo yenu, namtazamo wenu katka mambo yote mliyo kubaliana, kitu kingine ninamna mnavyo simamia utekelezwaji wa sheria na taratibu bila kupindisha sheria na tratibu (mfno china), tatizo la nchi kama taznia ni mfumo wa kipuuzi amba viongozi wanaamini ndio sahii, na kusimamia sheria tu pale wanapotenda kosa watu walio nje ya mfumo,
 
Back
Top Bottom