vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,827
- 1,310
Kuna habari kwamba yule askari aliyepiga picha na Godbless Lema ametoroka Jeshini na anasakwa kwa udi na uvumba.
Can someone come out na aniambie kama yule kijana alikua amepiga pivha na Mbunge wa CCM ingekuweje? sio kwamba sielewi wanajashi hawastahili kuonyesha itikadi zao za Kichama! najua sana.
Ila naomba kuuliza kama huu Mwanajeshi angepiga picha na yule jamaa wa Fitna kule ccm ingekuweje?
kwaheri 2012.