ngugu zangu,
..ujanja-ujanja ninaouzungumzia ni kuhusu sera ya CUF kuhusu suala zima la muungano.
..kwa kweli inatia aibu jinsi Lipumba na Mtatiro wanavyojichanga kila wanapoulizwa kuhusu suala la muungano.
..sera ya CUF ktk maandishi ni muungano wa serikali 3, lakini viongozi wake, haswa wa kutoka ZNZ ambapo ndiko kwenye shina na mizizi ya chama, wanahubiri muungano wa mkataba.
..kinachowashinda hawa wenzetu kuitisha mkutano ili kuamua chama kifuate sera ya muungano wa serikali 3, au muungano mkataba ni nini?
..mbona CCM walipoona wameelemewa na tamaa ya ufisadi waliamua kuleta azimio la znz ili kuhalalisha ufisadi??
..wakati umefika kwa CUF ktk umoja wao kuamua kama wanataka serikali 3 au mkataba.