Hotuba ya kikwete

Hotuba ya kikwete

jedrick

Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
49
Reaction score
22
Raisi kikwte amekosea.Viongozi wa dini na wafuasi wao,viongozi wa siasa na wafuasi wao ndio watanzania wenyewe.Anaposema watu hawa wasiwapoteze watanzania,hajui kama dini zote nizawatanzania,vyama vyote nivyawatanzania.Kwa nchi yetu hii kundi ambalo halihusiani na viongozi hawa ni dogo sana,mfano wapagani japo nao wanavyama, navichaa.watoto wadogo pia wanadini.Sisi watanzania,tunakubaliana na wanayosema viongozi wetu wote wa dini na siasa, rasilimali zetu hazijatufaidisha.Ukweli ndio huo hata kama kikwete hataki.
 
Back
Top Bottom