MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 884
Yani, halmashauri ya wilaya ya Urambo ina madiwani hovyo kabisa, wamemnunulia Mkurugenzi wa halmashauri gari GX V8 wakati madawati, vitabu, maji katika mji wa Urambo hakuna. Inabidi katika katiba mpya angalau udiwani sifa iwe kuanzia kidato cha sita.
hata hivyo sita ameshasema hatagombea tena ubunge kwani alidai yeye ni mzee sana
Six...................siku hizi magreth sitta simsikii kabisa hivi yuko kitengo gani vile
Six anamuandalia nafasi kurithi Jimbo 2015, na kwa ufala wa wanyamwezi watampa.
urambo ni sehemu kubwa.. kuna urambo mashariki [kwa sitta] na urambo kusini [ kwa kapuya].. sasa ukisema urambo kwa sitta unamaanisha nini..