Diwani wa iseke chadema aliejiuzulu aliongea mambo mazito sana
Mwenyekiti wa ccm mkoa wa singida,jana alizomewa baada ya kuwaambia wakazi wa manispaa hii kuwa mbunge wao wa singida mjini ndugu Mohamed Dewji anawasalimia yuko Uganda,uingreza na sehemu za Asia akifungua viwanda vyake.CHADEMA tuchukue jimbo hili ni la bure.
Diwani wa iseke chadema aliejiuzulu aliongea mambo mazito sana
Kwani bado anautaka ubunge?Huyo mwenyekiti anajikuwadia mwenyewe 2015
Rais pekee ndani ya CCMndiye asiyeutaka UbungeKwani bado anautaka ubunge?
Your answer is too general!Nakubali kutokukubaliana!Rais pekee ndani ya CCMndiye asiyeutaka Ubunge
I didn't know your question needs a technical answer. Can you ask again and be specific pleaseYour answer is too general!Nakubali kutokukubaliana!
wewe gamba la kinyaturu.una nini cha kujivunia zaidi ya pilau na nyama dewji aliyowapeni kipindi cha uchaguzi.shame upon your face!