Uchaguzi humu lini?

Uchaguzi humu lini?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Kuna Jimbo la Sumbawanga Mjini;kuna Kata za Arusha waliofukuzwa uanachama wa CHADEMA;kuna kata mbili za Jimbo la Sengerema ambapo Madiwani wake walihamia CHADEMA wakitokea CCM. Tume ya Uchaguzi chini ya Jaji Damian Lubuva itatutangazia uchaguzi sehemu hizi?
 
Pesa hakuna kutokana na matukio makubwa ya mwaka uliopita (2012) yaliyotokea nchini ....baadhi yao yakiwa ..." Sensa , Uchaguzi mkuu wa Chama Tawala,kesi zisizonatija za kupinga matokeo ya uchaguzi katika majimbo mbalimbali n.k ...
 
Back
Top Bottom