kingfish
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 571
- 159
Wakati nikiwa nasoma shule ya msingi enzi ya chama kimoja tulifundishwa somo la siasa,tuliambiwa kuwa imani mojawapo ya ccm ni kuwa chama kinaamini kwamba binadamu wote ni sawa.
Mimi si muumini wa chama hiki.napenda mnijuze hii imani bado ipo ndani ya ccm?
Mimi si muumini wa chama hiki.napenda mnijuze hii imani bado ipo ndani ya ccm?