Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Ikiwa Chadema itashinda nafasi ya urais 2015 kama wanavyotabiri wao,hakuna ubishi CCM Itaendelea kuongoza katika namba ya uwakilishi wa idadi ya viti vya ubunge, HIVYO NI LAZIMA WAZIRI MKUU ATOKE CCM,je kutakuwa na ufanisi wowote katika ndoa hii?