CHADEMA: Peoples' Power Kwanza, Social Power Kabla

Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2007
Posts
4,850
Reaction score
9,436
"But there are also leaders, not MPs who by their conduct have assumed airs which at once are anti – people and anti – party… Their common denominator is their usurpation of the power of the people. They have forgotten that power in our country derives from the people and therefore those entrusted with it, should respect the people. Such leaders are those who shout loudest about the rights of Umma (People), but are themselves quick to trample these rights down and have the arrogance to so abuse their power ‘in the name of the people'. These are the leaders who think that the People is an abstraction, and that to promote development they must substitute the People's consent with force. Disrespect for the people and disrespect for their humanity is dangerously anti – party action. Both groups must be disciplined so that there can be no doubt about the supremacy of the Party, the Source of Power, the accountability of Power and the purpose of Power."

Haya ni Maneno ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere (1968), na aliyatoa wakati anawatimua Wabunge kadhaa wa TANU kwa utovu wa nidhamu. Nimeanza na nukuu hii ili kuonyesha kwamba tabia ya watawala kudharau dhana ya nguvu ya umma (Peoples' Power) ni jambo la muda mrefu, na halijazaliwa ndani ya mfumo wa vyama vingi. Kwa sababu ambazo ni ngumu kuzibaini, tabia hii imeshika kasi kubwa katika utawala wa awamu ya nne. Ushahidi juu ya hili ni jinsi baadhi ya viongozi wa CCM (sio wote) wanavyotawala kama Miungu Watu, na jinsi gani Wanajaa Viburi mbele ya Umma. Kwa kiasi kikubwa, vuguvugu la ‘demand for change' ndani ya umma hivi sasa limechangiwa sana na tabia hii miongoni mwa baadhi ya viongozi wa CCM. Isitoshe, katika hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu Wa Taifa (CCM) Dodoma (1995), Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere alionya kwamba:

"Wananchi wanataka mabadiliko, wasipoyapata kupitia CCM, watayatafuta kupitia Chama kingine".

Ni muhimu itambulike kwamba wakati huo, Chadema ilikuwa bado ni chama kinda, hivyo, nitakuwa sahihi kutamka kwamba vuguvugu la ‘Demand for Change' ndani ya umma leo hii, chini ya dhana ya People's Power ni zao la CCM zaidi kuliko zao la Chadema; Ukaidi, Ubinafsi na Kiburi cha baadhi ya viongozi wa CCM ndio umepelekea wananchi kuyatafuta mabadiliko kupitia Chadema, na hata kama ingekuwa sio Chadema, kwa kauli ya Mwalimu, umma ungeyatafuta mabadiliko husika kupitia chama chochote ‘kingine'. Kwa hiyo ni muhimu kwa wana CCM kuachana na siasa za kuishambulia Chadema kwa viroja na badala yake, tukae na kutathmini tumefikaje hapa, kwani wa kuwalaumu sio Chadema bali sisi Wenyewe CCM ambao tumewatunukia Chadema zawadi nono inayoweza kuwapa ushindi 2015 au 2020 iwapo nguvu ya umma itaheshimika, lakini hasa iwapo tutaendelea kukataa kubadilika na badala yake kuona viongozi wenye viburi, ubinafsi na ukaidi kwa Umma ndio mtaji wetu wa kisiasa. Based on Mtazamo ule wa Mwalimu, nina hakika katika hili angekuwa upande wangu wa hoja.

Tukihamia upande wa Chadema, swali linalofuata ni Je: How Practical is the Concept of Peoples' Power katika Taifa letu?

Asili ya neno ‘Democracy' ni Ugiriki na linabeba dhana kuu mbili: People & Power. For the People (demos) – ili wawe na POWER ya kweli, inapaswa iwepo ‘System' inayofanya kazi tofauti kabisa na jinsi gani the ruling elite ya sasa inavyofanya kazi zake ya kutawala. Swali lingine linalofuata ni Je:

Utofauti huu unaweza kupatikana chini ya Chama kingine Cha Upinzani, mfano Chadema?

Binafsi sina majibu ya uhakika juu ya swali hili. Vinginevyo, having power for the people implies kwamba – the PEOPLE – wana Kauli kubwa juu ya maamuzi yote muhimu yanayofanywa na Serikali, and being of the people, by the people, for the people, SERIKALI responds to the wishes of the people (umma). Kufanikisha hili in ‘practice' sio jambo rahisi kama wananchi wengi wangevyopenda kufikiri, na ukweli huu haujalishi tunashabikia vyama gani vya siasa Tanzania; Moja ya sababu juu ya ugumu wa practicality za peoples power Tanzania ni kwamba - kinachoendelea hivi sasa chini ya utawala wa CCM (and very likely even if Chadema au chama kingine manages to ‘conquer' Ikulu ni - "THE REAL POWER WITHOUT PEOPLE"; Aina hii ya Power huzaliwa along the Corridors & Board Rooms huko kwenye taasisi mbalimbali zinazowakilisha demokrasia yetu within the state;

Shughuli kubwa inayoendelea huko ni interaction baina ya watawala, mashirika ya kimataifa ya fedha (e.g., World Bank & IMF), makampuni makubwa ya kidunia yanayohodhi sekta zetu mbalimbali za uchumi (Multinational Companies), government lobbyists, bureaucrats, vyombo vya Ulinzi na Usalama, n.k. Katika hizi Corridors of Powers & Board Rooms, wahusika hujipangia ‘The Country Order', kwa jinsi wanavyopenda wao, ambapo maamuzi muhimu, makubwa na yenye madhara makubwa kwa wananchi wa Tanzania hufanywa, kisha baadae yanapelekwa kwenye umma, hasa kupitia taasisi zinazowakilisha demokrasia yetu (mfano BUNGE), huku juhudi mbalimbali zikifanywa to justify maamuzi husika, na hata ibidi, kupitia fear mongering techniques;

Kwahiyo tusijidanganye kwamba Peoples' Power ndio suluhisho la matatizo ya wananchi, hili ni suala la nadharia zaidi kuliko vitendo. Inawezekana ‘PP' ikawa ni ‘necessary means', lakini kuna pre – requisites nyingine muhimu ambazo zinahitajika kwanza, in my humble view. Na ni hapa ndio suala la ‘Social Power' linapo ‘gain' prominence. Social Power inamilikiwa na individuals lakini pia na makundi ya watu mbalimbali katika jamii, na such power arises out of their connections to each other. Social Power ina sura mbili: Sura ya kwanza ni uwezo wa kushawishi wengine kwa nia ya kuendeleza their own interests or desires; na sura yake ya pili ni uwezo wa kugomea au kupinga shughuli za wengine pale inapohotajika kufanyika hivyo; Social Power ina mahusiano ya karibu sana na Social Capital, hivyo tuelekeze mjadala kwenye dhana hii nyingine.

Kwa mujibu wa watalaam wa masuala husika, maana ya dhana ya ‘Social Capital' ni: "Norms and Networks that encourage Cooperation and Trust between individuals". Wataalamu mbalimbali wa mambo ya siasa wanasema kwamba – nchi ikiwa ina "an energetic associational life", ina nafasi nzuri zaidi ya kujenga na kudumisha demokrasia; Wanazidi kueleza kwamba interaction ya mara kwa mara ya wananchi katika taifa hujenga hamasa ya kuanzisha makundi mbali mbali ndani ya jamii (formal and informal), hujenga uaminifu (trust) baina ya watu/makundi husika, na pia hujenga SOLIDARITY - a union of interests or purposes or sympathies among members of a particular group; Masuala haya yote ni muhimu sana katika kuweka wananchi katika nafasi nzuri zaidi na kuwajengea uwezo to defend or promote a certain idea or cause (e.g. a movement); Muhimu zaidi ni kwamba yanasaidia to crystallize and organize upinzani ndani ya nchini husika dhidi ya serikali isiyoheshimu demokrasia. Na iwapo nchi inafanikiwa kupiga hatua katika Maendeleo ya Demokrasia, Social Capital uendelea kuwa muhimu kwani mahusiano, networking na interaction husika huwapa wananchi access to important information (and as we know, information is power), huwapa wananchi more political ideas, n.k, yote ambayo ni muhimu katika kuongeza UWAJIBIKAJI WA SERIKALI HUSIKA;

Tumebaini changamoto kadhaa juu ya dhana ya PEOPLES' POWER, hasa practicality yake katika jamii yetu. Vile vile tumeona umuhimu wa Social Capital katika Maendeleo ya Demokrasia. Je, Kama Taifa, tuna SOCIAL CAPITAL yenye hali gani?

Vigezo vingi vinaonyesha wazi jinsi gani "Associational Life" nchini Tanzania inakabiliwa na changamoto mbalimbali kutokana na kuwa dhaifu. We have a weak Social Capital, hata tukilinganishwa na nchi nyingi za Afrika. Zipo sababu kadhaa juu ya hili, ya kwanza ikiwa inahusiana na Geographic and Demographic features za nchi yetu; Tanzania ni nchi kubwa sana kijiografia huku watu wake wengi wakiwa wanaishi in the periphery (pembezoni) mwa nchi, katika maeneo mengi ambayo population is sparse (rejea sababu za uanzishwaji wa vijiji vya Ujamaa na Mwalimu Nyerere). Nchini Tanzania, idadi ya watu kwa kilometa za mraba (population density per square kilometer) ni ndogo sana ikifananishwa na nchi nyingi za Afrika. Kwa mfano, Tanzania, Population density ni (49), huku Kenya ikiwa ni (76); Uganda (182); Rwanda (473); na Burundi (411). Ukichanganya tatizo hili pamoja na ukosefu/ubovu wa miundo mbinu ya barabara na mawasiliano katika maeneo yenye wakazi wengi wa nchi (vijijini ambao ni karibia 70% ya populace), social interaction nje ya miji mikubwa ni ngumu sana; Kutokana na hili, ni vigumu kwa watanzania walio wengi to successfully come up with organized efforts zenye kuweza kuleta positive impacts katika maisha yao; Kwa maana nyingine, ni vigumu sana kwa watanzania to engage in collective action kwa nia ya ku ‘promote or defend' a particular idea or cause, effectively;

Sababu nyingine juu ya udhaifu wa ‘SOCIAL CAPITAL' ni People's lack of trust in each other; Kwa kiasi kikubwa sana, tatizo hili limechangiwa na utawala wa CCM – the party has largely contributed to undermine trust among Tanzanians kutokana na Chama kushindwa kutatua tatizo la rushwa na ufisadi ndani ya bureaucracy, ndani ya chama lakini pia suala la utapeli na ubabaishaji kuendelea kuwa ni sehemu ya sifa ya mtu kuteuliwa kuwa mgombea Ubunge, Waziri, Mkuu wa Mkoa/Wilaya, Mjumbe wa NEC n.k. Vile vile uliberali wa kiuchumi haujajenga a robust associational life na badala yake, imeachia zaidi individuals kufanya mambo kwa jinsi wanavyoona inawafaa, na kwa kiasi kikubwa, haya ni matokeo ya sera ya awamu ya pili ya ‘Ruksa', ambapo literally, the principle of laissez faire went out of control, na jamii ikageuka kuwa lawless kwa kipindi kirefu (mfano madhara ya Azimio la Zanzibar n.k). Mkapa alijitahidi sana kurekebisha tatizo hili la lawlessness in the society na pia kurudisha nidhamu ya viongoni, lakini inaonekana tumerudi kule kule.

Vile vile udhaifu wa Social Capital Tanzania umechangiwa sana na vikwazo vinavyoweka (institutionally) to weaken efforts za uanzishwaji wa Strong and Independent Organizations zinazowakilisha interests za jamii, hasa zinazojumuisha wananchi wa formal and informal sector, bila ya kujalisha mirengo yao ya siasa ni ipi, kwa mfano kukwama kwa uanzishwaji wa autonomous organizations kama vile Baraza la Wanawake Tanzania, Baraza la Vijana, Baraza la Wazee, n.k.

Hitimisho

Ni muhimu kwa Chadema kuendelea kuhimiza juu ya umuhimu wa Peoples' Power kwani hii ndio maana halisi ya Demokrasia. We have been experiencing a creeping democracy, huku hali za watanzania zikizidi kuwa mbaya in terms of kuzidi kuterereka – deteriorating Social', Economic and Political justice, huku viongozi wengi wa CCM wakiendelea kuneemeka kimaisha, and implement political reforms in a top – down fashion badala ya bottom - up, kwa ubinafsi, ukaidi, na kiburi cha hali ya juu; Lakini kutokana na madhaifu ya Peoples Power (in practice), Chadema pia will most likely fall kwenye mtego ule ule wa CCM, hasa kutokana na suala la arrogance of power. Njia bora zaidi ya kuwapeleka watanzania kwenye demokrasia ya uliberali ya kweli ni kwa kuimarisha kwanza the Social Capital ambayo kwa sasa ni dhaifu sana. Vinginevyo bila kuimarisha our Social Capital, itakuwa ni vigumu sana kwa watanzania kujipatia mabadiliko ya kweli, lakini pia vigumu kwa dhana ya PEOPLE's POWER to sustain, bila ya kujalisha ni chama gani kitakuwa madarakani; Isitoshe, mwanazuoni mmoja (Robert Putnam) anasema kwamba:

"Social Capital Makes Us Smarter, Healthier, Safer, Richer and Better to Govern a Just and Stable Democracy."
 
Isionekane mpaka 2017

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mchambuzi, mungu akujalie kwa jinsi unavyojitolea muda wako na akili yako kuelimishaa umma! nikiona makala zako kwanza kuwa navuta hadi mwisho kupima kama nina muda wa kusoma nakuelewa....sio makala nyepesi nyepesi..

good work..... kwangu mimi kazi iliyo kiubwa kwa sasa katika siasa za nchi yetu ni kuondoa makundi tawala kimungu...

na kuyapa nguvu ya kusema na kutenda makundi yote katika jamii...mfano kukubaliana kuwa sasa ni wakati wa sera za majimbo...na madini kunufaisha jimbo husika kwa kuanza...
 
Nashukuru sana kwa kunipa moyo kweleakwelea; naunga mkono hoja, lakini ili kufanikisha haya yote, kuna umuhimu kwa watanzania kuji organize socially kabla ya kutafuta peoples power kwani katika hali ya sasa ambapo the social capital is weak, ni rahisi sana kwa watu kugeukana kutokana na guvu ya watu fulani fulani ya pesa, au kuwa easily divided and ruled/dominated; they need a strong social capital kuepuka kugawanywa kwa nia ya kutawaliwa kwa matakwa ya watawala;
 
It is so meditative.It should be read mostly by the chama tawala to help them get out of the cave.

Nime like sana but wewe ni Mwana CCM kwa uvaaji wa hiyo nguo yako ya juu ? Otherwise tuko pamoja ila kazi na dawa

Kuwa mwanachama wa CCM kuna tatizo gani? sijakusoma vizuri, otherwise asante kwa kuunga mkono hoja yangu mkuu;
 
Back
Top Bottom