NCCR Mageuzi wamelamba dume ama galasa?

NCCR Mageuzi wamelamba dume ama galasa?

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2011
Posts
789
Reaction score
299
Naanza na kusema kwamba!! NCCR MAGEUZI wamelamba dume? ama wamelamba galasa?

Nasema walamba Galasa kwa sababu 3,

Moja ni kwamba Kisandu kawadanganya hawa jamaa vibaya mno!

Mimi nikiwa mmoja wa walopiga kampeni za ubunge wa jimbo la Lushoto, tukimpigia Deogratius Kisandu Ambae hakuwa na kitu hadi sie tukachangisha pesa zetu mifukoni.

Kisandu kasema aligombea na kuwa Mshindi wa pili na amesema alipata kura elfu tano nyuma ya Shekifu huu ni Uongo mtupu,Kisandu alipata kura 1,800 na alikuwa mtu wa 3 nyuma ya Mgombea wa CUF Mzee, Mkakamganga ambae alipata kura elfu 5,000 na mshind ni ndugu Henly Dafa Shekifu aliepata kura 14,000.

Ndio maana nasema kwamba Kisandu ambae alifikia hata kuomba misaada kwa Shekifu wa CCM, Mkuu wa Wilaya ya Lushoto na baadhii ya Watu hapa Mjini, Ndio maana tunasema ( NCCR MAGEUZI) Wamelamba galasa na si Karata ya number, Nawambia NCCR MAGEUZI, Wachunguze kwanza mwenendo wa Jamaa huyo, kwani lazima watajutia maamuzu yao!!!!.

NCCR MAGEUZI, Wakae chini ama waje Lushoto Tanga wapate undani wa huyo Kisandu
Nipo tayari kufanya nao uchunguzi,

Number yangu ya simu ni +255 785 83 96 69,

Mwisho nawapa pole NCCR MAGEUZI kwa kuchukua galasa na kuzani ni Karata ya turufu!
 
Mkuu Philip,
Karibu ujiunge na NCCR-Mageuzi. Mwenzako katumia haki yake ya kidemokrasia, kaomba kujiunga na chama na kapokelewa. NCCR-Mageuzi hatuna vigezo vya 'kikaratakarata'. Utanzania wako, haki yako kisiasa, na kukubali kwako itikadi ya wanamageuzi, ndivyo vinakuingiza katika chama chetu. Karibu sana.
 
Back
Top Bottom