mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Mgana Msindai ameisambaratisha kambi ya upinzani jimboni Mkalama, baada ya wanachama 182 wa vyama mbalimbali vya upinzani kurejea CCM. CHADEMA ndiyo iliyopata pigo zaidi baada ya wanachama wake 121 kukihama chama hicho na kurejea CCM.
Chanzo Gazeti la Mwananchi,Jumanne,Januari 8,2013
Chanzo Gazeti la Mwananchi,Jumanne,Januari 8,2013