Mkwawa
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,334
- 1,466
Wabunge kadhaa tayari wametangaza kustaafu au kuacha kugombea nafasi za Ubunge mwaka 2015. Kila mmoja akiwa na sababu tofauti ila wengi inaonekana ni kiwewe cha kushindwa baada ya kugundua kuwa wameshindwa kuwasaidia wapiga kura wao. Wengine ni uzee, au kujipanga na kugombea Urais kwani katiba ya sasa hairusu kugombea vyote kwa wakati mmoja, na wengine ni kuzongwa na kashfa na ufisadi. Wengine wameamua kubadilisha career nk. Kila sababu walau inaonyesha swala la kung'ang'ania ubunge linaanza kupungua kadiri miaka inavyokwenda. Wananchi ongezeni kasi ya kudai haki zenu na kuwawajibisha wabunge na serikali ili kasi ya mendeleo ipatikane na wavivu na walaghai wale kona.
Majina ya ambao tayari wametangaza kuachia ngazi na majimbo yao
1. Mustafa Mkulo -
2. Bernad Membe- Mtama
3. Zitto Zuberi Kabwe- Kigoma kaskazini
4. Anna Makinda--- Njombe
5.Mizengo Pinda --Mpanda
6. Samweli Sita -----Urambo Mashariki
7. P. Ndesamburo -----Moshi Mjini
8.
9.
10.
11.
12.
Majina ya ambao hawafai kurudi Bungeni 2015 kwa uzembe/uvivu/tuhuma/mzigo kwa taifa/hawana mchango/hawana sifa wala
uwezo na ufisadi
1. John Komba
2. Karamagi
3.Maji marefu
4.Sofia Simba
5. Ngeleja
6.E Lowassa
7. David Mathayo
8.Cyril Chami
9. Anna Kilango Maleccela
10.Shukuru Kawambwa
11.Andrew Chenge
12.
13.
14.
15.
Nitaendelea ku-Update list na kuiweka live mpaka 2015. Stay on your words.
Majina ya ambao tayari wametangaza kuachia ngazi na majimbo yao
1. Mustafa Mkulo -
2. Bernad Membe- Mtama
3. Zitto Zuberi Kabwe- Kigoma kaskazini
4. Anna Makinda--- Njombe
5.Mizengo Pinda --Mpanda
6. Samweli Sita -----Urambo Mashariki
7. P. Ndesamburo -----Moshi Mjini
8.
9.
10.
11.
12.
Majina ya ambao hawafai kurudi Bungeni 2015 kwa uzembe/uvivu/tuhuma/mzigo kwa taifa/hawana mchango/hawana sifa wala
uwezo na ufisadi
1. John Komba
2. Karamagi
3.Maji marefu
4.Sofia Simba
5. Ngeleja
6.E Lowassa
7. David Mathayo
8.Cyril Chami
9. Anna Kilango Maleccela
10.Shukuru Kawambwa
11.Andrew Chenge
12.
13.
14.
15.
Nitaendelea ku-Update list na kuiweka live mpaka 2015. Stay on your words.