Kazi za raisi wa jmt

Kazi za raisi wa jmt

Mrdash1

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,375
Reaction score
339
Rais wa nchi yetu tunae mchagua kila baada ya miaka mitano kwa gharama kubwa ana kazi gani? Mimi siku zote nilifikiri tunapiga kura ya kumpeleka mtu ofisini awe mtendaji mkuu wa nchi, tumpe ofisi ya uraisi yenye meza na kiti na wahudumu.

Sikumbuki kuona picha ya raisi wetu akiwa ofisini, nimewahi kuiona picha ya Obama au hata Bush aliyekuwa raisi kabla yake wakiwa ofisini, lakini huyu wa kwetu bado sijaona. Picha zake za ikulu ni zile za kupokea wageni pale kwenye kachumba kenye fenicha kama za sebuleni au akiwa viwanjani ku waapisha wapambe wake kushika nyadhifa mbali mbali.

Picha nyingi ni zile za nje ya ikulu akiwa kwenye ufunguzi wa mikutano na washa au yupo misibani, safarini au ana kata utepe

Je anazo kazi za kiofisi?
 
Wanasema eti ni mtu wa watu!!
Sasa sidhani kama ofisini kuna hao 'watu' ili kukamilisha pasi shaka ile dhana ya 'mtu wa watu!'
 
Ila kweli huyu jamaa mi namuonaga kwenye picha na wasanii wa holiwood na misibani tu,nadhani ofisi yake itakuwa imeota nyasi
 
Kazi zake ni kushiriki mazishi na kutoa ubani m sibani.pia kama una besidei paty yako pia anaweza kuwa mgeni rasmi au akamtuma yule jamaa yake wa zenji kuja kuhudhuria.
 
Rais wa nchi yetu tunae mchagua kila baada ya miaka mitano kwa gharama kubwa ana kazi gani? Mimi siku zote nilifikiri tunapiga kura ya kumpeleka mtu ofisini awe mtendaji mkuu wa nchi, tumpe ofisi ya uraisi yenye meza na kiti na wahudumu.

Sikumbuki kuona picha ya raisi wetu akiwa ofisini, nimewahi kuiona picha ya Obama au hata Bush aliyekuwa raisi kabla yake wakiwa ofisini, lakini huyu wa kwetu bado sijaona. Picha zake za ikulu ni zile za kupokea wageni pale kwenye kachumba kenye fenicha kama za sebuleni au akiwa viwanjani ku waapisha wapambe wake kushika nyadhifa mbali mbali.

Picha nyingi ni zile za nje ya ikulu akiwa kwenye ufunguzi wa mikutano na washa au yupo misibani, safarini au ana kata utepe

Je anazo kazi za kiofisi?
si useme tu unataka kuona ofisi yake ilivyo? :becky: tafuta mwaliko walau ufike pale mlangoni ushuhudie lile simba dume kubwaa lipo mlangoni.
 
Kazi zake ni kushiriki mazishi na kutoa ubani m sibani.pia kama una besidei paty yako pia anaweza kuwa mgeni rasmi au akamtuma yule jamaa yake wa zenji kuja kuhudhuria.

Haa!! mipesa yooote ile inayo potea wakati wa uchaguzi mkuu, tena watu wengine wanakuja kutoka nchi za mbali ati watazamaji wa kimataifa kuzuia uchakachuaji, kumbe juhudi zote hizo ni kumpata mtu bora wa kutoa ubani??? 2015 sipigi kura.
 
Kuhudhuria misiba ya wasanii, kuweka mawe ya msingi, kufungua warsha semina na hafla, kusafiri nje ya nchi, kushindwa kuwachukulia hatua wasaidizi wake wanaoshindwa kazi, kupokea mabalozi na wasanii(k.m Ray C), kuhutubia kwenye maadhimisho(na msipomwalika lazima awachukie) na mambo yanayofanan na hayo, kwani mkuu wewe unahisi angefanya nini huyu mshikaji?
 
si useme tu unataka kuona ofisi yake ilivyo? :becky: tafuta mwaliko walau ufike pale mlangoni ushuhudie lile simba dume kubwaa lipo mlangoni.

Ha ha ha ha ha ha Kwangu mimi inatosha kumwona kwenye picha akiwa ofisini akichapa mzigo alotumwa na wadanganyika kuliko kwenda kushuhudia ofisi wazi na kuambiwa mzee ametoka kidogo msubiri
 
Kuhudhuria misiba ya wasanii, kuweka mawe ya msingi, kufungua warsha semina na hafla, kusafiri nje ya nchi, kushindwa kuwachukulia hatua wasaidizi wake wanaoshindwa kazi, kupokea mabalozi na wasanii(k.m Ray C), kuhutubia kwenye maadhimisho(na msipomwalika lazima awachukie) na mambo yanayofanan na hayo, kwani mkuu wewe unahisi angefanya nini huyu mshikaji?

Hapo kwenye bold ndo pana jibu, kama angekaa ofisini, akapokea ripoti za utendaji wa serkali yake kila siku, akasoma na kuelewa mafaili yaliyoko mezani kwake yana taka nini, akafanya consultation ofisini kwake na wasaidizi wake kwenye masuala muhimu au matatizo mbalimbali yanayojitokeza kila siku basi angejua watendaji wake walioshindwa kazi na hatua za kuchukua.

Kama hakai ofisini na kufanya kazi za kiofisi hawezi jua msaidizi aliyeshindwa kazi na hawezi chukua hatua, ndiyo maana unaona nchi inajiendesha yenyewe, kila kiongozi anatoka kivyake, nchi iko kwenye auto pilot, cabin iko wazi rubani ana chat na abiria

Ili kuiokoa nchi kuna haja ya wazalendo kuanzisha kampeni ya kumlazimisha raisi arudi ofisini afanye kazi
 
Ameweka Auto Pilot....yeye anaishi tu,kusafiri na kuzindua majengo na semina!na kupiga propaganda!!!!
 
Hujui hata kazi sa RAIS? Inaelekea hata maoni kwenye tume ya katiba mpya hujatoa.

Ukitaka kujua Kazi za RAIS wa JMT, Soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Ibara 37 kifungu 1-11

Shughulisha akili yako.
 
kaka hujamwelewa, hasemei JD ya Rais iliyoandikwa kwenye katiba ila anaongelea hizi kazi anazozifanya kwa sasa ndiyo hazielewi.
 
Back
Top Bottom