Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kusema ukweli huyu aliishatabiliwa kuuwa kwa sumu, na ikishindikanika akizomewa presha itapanda na atakufa. Je angetangaza kutogombea angezomewa na nani? Msomaji, utasema walio mzomea ndio walio...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
1. January Makamba kkata ni geresha 2. Nape Nauye 3.Mwiguru mchemba 4.Rizi 1. 5 6. Ongezea na wewe
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Wakuu, Mgombea wa nafasi ya kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Aaron Kalikawe ameahidi kuifanya Tanzania kuendeshwa katika mifumo ya...
0 Reactions
5 Replies
410 Views
Huko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe. Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Mshindi wa kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Mjini, Shabani Kirumbe Ng’enda, ambaye anasubiri kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM, ili kugombea ubunge katika jimbo hilo baada ya kuwashinda wenzake...
1 Reactions
0 Replies
557 Views
Viongozi wetu huwa na washauri katika MASUALA ya kikazi katika katika MASUALA BINAFSI hawana washauri hivyo hujikuta wanafanya makosa anvayo huwaumiza wao binafsi, wananchi na hata majukumu Yao ya...
1 Reactions
0 Replies
194 Views
Halima Mdee na wenzake 18 wakiwa chumba maalum kilichoandaliwa wakisubiri kusikilizwa kwa rufaa zao kupinga kufukuzwa unachama. Rufaa hizo zinasiiilizwa na wajumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA, Ukumbi...
26 Reactions
203 Replies
20K Views
Wajumbe wamemchoka ndugai jamani, wanataka wamsaidie kwa lazima apumzike! Wamechoka kupata mtu yule yule kila siku, wanataka sura mpya yenye mawazo mapya! Mjumbe alipopata nafasi ya kuuliza...
1 Reactions
2 Replies
918 Views
Katibu wa Wilaya ya Ilala CCM akimpigania Mgombea wake dhidi ya Mgombea wa anayekubalika na wengi, ambaye ameonekana kuwa mwiba kwa Mgombea wa Katibu huyo.
0 Reactions
2 Replies
289 Views
Kwa wafuatiliaji wa siasa Polepole si mzalendo wala hawezi kuwa mwanaharakati. Anayosema leo yameanza leo? Kutekwa watu, kupotezwa ndio mara ya kwanza? Mbona kipindi cha Magufuli hakuongea haya...
0 Reactions
2 Replies
261 Views
Zifuatazo ni mbinu za kupunguza tatizo la ajira nchini Kuondoa VAT Wafanyakazi wa idara ya serikali ukitoa udaktari na unesi ajira zao ziwe ni za mfupi kuanzia miaka 5 mpaka 7 ili kila mtu afaidi...
1 Reactions
16 Replies
804 Views
Kufuatia press conference za Polepole na yale anazungumza kwa umma kuhusu CCM na viongozi wa nchi, ni ipi itakuwa hatma ya makundi makubwa mawili ndani ya CCM? Kwa maoni yangu, CCM ina makundi...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Wacha Mpina, January, february au hata namba moja mwenyewe ahame chama bado sitwaamini tena upinzani maisha milele Hata aliyeko korokoroni simwamini tena pia, shikamoo siasa, shikamoo ccm...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Uchaguzi mwaka huu umekuwa na nkamvuto' hakuna upinzani wa Moja kwa Moja lakini Kuna fukuto la mabadiliko..ndani ya CCM na nje ya CCM. Huko.ndani yaelekea Kuna discontent kubwa sana! Nje ndio...
1 Reactions
14 Replies
749 Views
"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za...
59 Reactions
271 Replies
19K Views
Tangu ashangiliwe kwa nguvu kubwa na wabunge siku ya kupitisha bajeti Kuu ya Serikali, Spika aliyejiuzulu Job Ndugai hajaonekana tena je yuko wapi mwanasiasa huyu
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia. Pia, Bwana Polepole alisema...
40 Reactions
216 Replies
10K Views
Mawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu. https://www.youtube.com/watch?v=a5iWi_n2I8M Pamoja na nambo mengine, mawakili hao wamesema mojawapo ya kesi zilizofunguliwa...
42 Reactions
299 Replies
12K Views
Kila mtu atakubaliana na mimi kuwa nipo sahihi na mzalendo wa kweli. Pesa za umma zinapotea hovyo, nidhamu serikalini imepotea. Deni la taifa linapaa kama Kunguru. Mama apishe 2025 yakae majembe...
7 Reactions
72 Replies
3K Views
Angalizo: Greek tragedy (ɡriːk ˈtrædʒədɪ) Definitions Collins English Dictionary noun(in ancient Greek theatre) a play in which the protagonist, usually a man of importance andoutstanding personal...
19 Reactions
169 Replies
26K Views
Back
Top Bottom