Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,253
- 26,017
Ndugu zangu Watanzania,
Tangia kuingia madarakani kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa usiku na mchana akitoa na kuidhinisha mabilionea kwa Matrilioni ya pesa kuelekeza katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa na milango na kaya za watanzania.
Ambapo kila senti inayoingia na kupatikana kutoka vyanzo mbalimbali zimekuwa zikielekezwa kwenye kuleta matokeo chanya kwenye maisha ya watanzania, Kugusa Maisha ya watu ,kuondoa kero,kutatua changamoto,kuleta tabasamu,kuinua maisha ya watu,kutoa ajira kwa watu. Rais Samia ameelekeza na kutumia kila senti katika kupunguza na kuondoa Umaskini wa watanzania na kurahisisha maisha ya watanzania.
Kila senti inayopatikana Rais wetu Mpendwa amehakikisha inakwenda kuchochea maendeleo, kuwawezesha watanzania kujikwamua kiuchumi ,kurahisisha mawasiliano kati ya eneo na eneo na kukuza vipato vya watu pamoja na kuchochea shughuli mbalimbali za biashara na kibiashara.
Hii hapa ni miongoni mwa Miradi kati ya miradi mingi isiyohesabika Iliyotekelezwa na kukamilishwa na Rais wetu Mpendwa. Ambapo kuna mingine aliikuta ikiwa katika hatua za awali kabisa na mingine aliianzisha Mwenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.