Operesheni mchaka mchaka hadi 2015 ya CUF imefia wapii?

Operesheni mchaka mchaka hadi 2015 ya CUF imefia wapii?

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
547
Reaction score
183
Ndugu wana jf na watanzania kwa ujumla..tuliona chama cha wananchi CUF kiliasisi opereshen yake na kuipa jina la mchakamchaka hadi 2015, lakini sasa hivi haijulikani ilipofia.je ndio wameshafeli au? Mwenye maelezo yoyote ebu ayamwage hapa.
 
Ilikuwa inaratibiwa na serikali ya ccm lakini baada ya serikali kuwa taabani kifedha wameingia mitini!!!!!!!!!!!!!
 
Kaka hata sisi hapa ofisini kwetu tukikaa sana bila kwenda safari huwa tunalaani sana. Matokeo yake huwa tunajaribu kutafuta njia za kupata safari ili mradi tupate ile kitu ile.

Sasa ni same tu na jamaa zetu hao.
 
Wanapumzika,mchakamchaka sio kila siku!
 
Vya msimu, wamejiunga na mume permanently
 
kijana unaulizia maswala ya bibi??? bwana wake ndiye anayajua??? huo ni uchokozi mkuu!!!
 
uko mbali na dunia ww juzi tu wanangangar walikuwa bagamoyo wakipiga mzigo.endeleen kujipa moyo watu wa kadi mbili
 
Vya msimu, wamejiunga na mume permanently

Aaaah! Baba V pole kwa BAN mkuu.

Cuf tangu walipopigwa mawe juzi kati kule Arusha ktk vurugu za machinga na Halmashauri na kuharibiwa kwa gari lao na spika za matanagazo kupasuliwa kwa mawe, huo ndo ulikuwa mwisho wa V4C yao.
 
ahhahah!
PICT0080.JPG
 
Walichoka kusafirisha watu, toka point a kwenda point b! Vyama vingine, ni uchoshaji wa akili za watu tu
 
Back
Top Bottom