Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WEDNESDAY, JANUARY 16, 2013 Posted by Albert G.Sengo
0 Reactions
84 Replies
9K Views
  • Closed
Kila kukicha CCM wanazidi kushindwa kuongoza nchi. Kwa kweli fanya utafiti nchi ipo mahali pagumu sana. Kila mwaka malaki ya watanzania wanaingia soko la ajira lakini kazi hakuna na uchumi haukui...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
'Nani alimwambia kuwa awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana...
13 Reactions
137 Replies
10K Views
FIKIRIA WEWE NI MPIGA KURA WA JIMBO LA UBUNGO, NA WAGOMBEA WALIOPITISHWA NA VYAMA VYAO KUGOMBEA NI J. MNYIKA KWA CDM & N. NAUYE KWA CCM 2015. KURA YAKO UTAMPA NANI? Nimechukua hatua hii ya...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Shirika la maendeleo ya Petroli Tanzania limewatoa wasiwasi wananchi wa Mtwara kuhusu gesi itakayosafirishwa kwenda Dar-es-Salaam kwa kuwa gesi zaidi ya asilimia 84 itabaki mkoani humo. Mkurugenzi...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
is the money source of all evils!!?
0 Reactions
0 Replies
920 Views
“Sio kila watu ateue na ninachosema hapa si kumpunguzia nguvu ila nafasi za Gavana, Mwanasheria Mkuu, Katibu Mkuu Kiongozi na Jaji Mkuu zipite kwenye ngazi fulani kisha uteuzi wao uthibitishwe na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika gazeti la RAI la leo kuna safu ya Bw.Charles Mullinda inayoitwa mchokonozi,pamoja na mambo mengine mchambuzi ametaja staili ya uongozi ya mbowe kama ya kiongozi asiyejiamin,mjanja na mwoga...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Naomba wote wanaojielewa tuhamie huku kabla ya 2015, hii analog itazimika baada ya hapo.
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Na Shomari Binda Rorya, CHAMA kipya cha Upinzani Nchini Tanzania cha Alliance For Democtratic Change (ADC) kilichopata usajil wa kudumui mwaka jana kimeendelea kujiimalisha katika Wilaya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kila siku inapofika saa kumi na mbili jioni pale stendi ya daladala,kuna kuwa na abiria wengi sana ambao wanahitaji usafiri wa kwenda majumbani mwao.Kinachosikitisha sana ni kuwa serikali(Trafiki...
1 Reactions
3 Replies
899 Views
http://www.kenyaembassy.com/pdfs/The%20Constitution%20of%20Kenya.pdf (5) A person who is a Kenyan citizen by birth and who, on the effective date, has ceased to be a Kenyan citizen because the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
leo waislam wamefanya ibada kubwa mjin mtwara kuomba dua gesi ibak mtwara.waumini wamejitokeaza kwa wingi.kesho kutakua na maandamano makubwa.ntakua live kuwajuza wanajamii
0 Reactions
2 Replies
1K Views
IJUMAA, JANUARI 18, 2013 05:01 NA GABRIEL MUSHI, DAR ES SALAAM SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limekana taarifa zinazodaiwa kuwa Ubalozi wa China nchini Tanzania umeanza kuondoa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete akikabidhiwa jezi ya mpira wa kikapu. Chini ni Rahma Kharoos akikabidhiwa jezi ya Simba huko Oman.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tukiendekeza unyonge katika kusimamia misingi ya kujenga taifa lililo bora hakika taifa letu litakuwa ovyo ovyo.Hatuwezi kuwaachia wachache wawe ndiyo wana tuharibia nchi yetu nasi tukabaki kimya...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Ukipita mitaani, maofisini na hata mitandaoni, hakuna hata siku moja inayopita bila kusikia kauli za kulaumu utendaji mbovu wa serikali. Serikali inalaumiwa kwa kushindwa kusimamia sheria na...
1 Reactions
1 Replies
878 Views
Wadau hii imekaaje, maana namsikia mwakilishi kutoka CCM Vijana akilizungumzia hapa star TV
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Kiufupi ni kwamba habar za siri zilofichika ni kwamba ccm imejiaandaa kutengua baadhi ya vipengele kwenye katiba mpya. Ili ccm ipate mwanya wa madaraka kwenye mfumo wa kuendelea kumchagua kamishna...
0 Reactions
6 Replies
923 Views
Ndugu wanaJF tunapokuwa tunaelekea kwenye kilele cha ukombozi wa kweli 2015 ni bora tuwe na vision, mission, objective za makusudi za kuung'oa utawala wa Maccm katika taifa hili tajiri na sio...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom