CCM: Shonza ameshindwa kazi!

CCM: Shonza ameshindwa kazi!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
'Nani alimwambia kuwa awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana Shonza) ameshindwa kazi aliyotumwa. Nape na Wassira hawakumwongoza vyema'

Hayo ni maneno ya kada mmoja maarufu wa CCM na Mwenyekiti wa CCM wa sasa Dar es Salaam,Bwana Madabida alipokuwa akichangia hoja katika kikao kimojawapo kilichofanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilikuwa kikijadili mchango wa Vijana katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi. Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya. Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.

Wenu,
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa mtumishi wa shetani hata kama una akili basi zinayeyuka.Mtu yeyote makini akisha kuwa mwana CCM lazima utaona madhara toka siku anaingia huko .Haya Juliana niliwahi kukuuliza maswali hapa ukawa kimya .Now you have it enjoy whatever you have been up to .
 
Duh Juliana angalia usije ukaingiA matatani na hao MACCM kwa kutokuwafanyia kazi yao ya kuivuruga CDM,hofu yangu wakikudai posho zao sijui uko kwenye position ya kuzilipa?
 
keshatumika kama ule mpira wa nailiu hana ladha tena...dawa ni kumtupa tuu..CHEZEYA CCM WEYE.......
 
Nauliza tu hv yule waziri anayetembea na SMG akaibiwa na changu morogoro yupo wizara gani vile....
 
Waliompa kazi ndiyo walifanya makosa kutoelewa uelewa wa Juliana Shonza!!! Ni mtu ambaye hana umakini wowote, wapo watu ambao wanafanya kazi kwa umakini lakini siyo yeye.
 
Last edited by a moderator:
Shonza kwanza chunga maana hao ulochemsha kazi yao hawana dini..watataka kupoteza ushahidi
 
Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?
 
CCM hoyerrr Ndio maana nawapenda .....wanajua kuwatumia wajinga halafu wakimaliza wana wa flush ...aka kabinti kalingia choo cha wakwe Ngoja mtakaona tu chezea ma kijani weye....?
 
Hivi Marafiki wa CCM yaani ANC cha South na wao huwa wanatumia mbinu hizi za kibibi kupambana na wapinzani wao?
 
So wht next masalia wenu kashindwa, naona na prezoo. Nae yupo hoi... Na bado watatajana tu!
 
Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?
Nikile kile mnachokaaga kila siku,wewe walikuacha kukuita wameshakuchoka karibu nawewe wana kuflush,wameanza kuona Huna sera kazi uliyotumwa inakushinda .....
 
Kweli CCM matahira Jakaya mwenyewe anamgwaya DR Slaa kweli walidhani Ukuta wa DR Slaa ungepenya kirahisi,UKuta wake uko kama ule unaozingira mbegu ya kiume ikiungana na yai la mama unaitwa Zonar Pelucida vikishaungana hakuna mbegu nyingine yeyote inapenya ndivyo alivyo madhubuti Dr Slaa , Zitto mwenyewe kamshindwa DR
 
Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?

hiyo ya mkopo ilivopuuzwa yani wayu kama hawakuskii, yani kumpigia mbuzi gitaa kazi kwelikweli,. Maccm bwana hayakomi njaa kali sana vijana dk slaa sio saizi yenu
 
Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?
kwani kiongozi wa ccm kinondoni hawezi shiriki vikao vya kufanya uharamia Lumumba?
 
Si tuliambiwa wanaenda NCCR kwa akina Mbatia na Kafulila a.ka. The home of makombo ! imekuwaje tena ?
 
Huyu J. Shonza ni spy aliyeshindwa mission na akagundulika. Kwa magamba adhabu yake asubiri!
 
'Nani alimwambia kuwa awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana Shonza) ameshindwa kazi aliyotumwa. Nape na Wassira hawakumwongoza vyema'

Hayo ni maneno ya kada mmoja maarufu wa CCM na Mwenyekiti wa CCM wa sasa Dar es Salaam,Bwana Madabida alipokuwa akichangia hoja katika kikao kimojawapo kilichofanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilikuwa kikijadili mchango wa Vijana katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi. Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya. Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.

Wenu,
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar
mtahangaika sana kamwe hamtashinda CCM #1 ukabila wenu na udini wenu CDM ndo unawaponza
 
Back
Top Bottom