mbinguni
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 2,786
- 1,080
Sio kila watu ateue na ninachosema hapa si kumpunguzia nguvu ila nafasi za Gavana, Mwanasheria Mkuu, Katibu Mkuu Kiongozi na Jaji Mkuu zipite kwenye ngazi fulani kisha uteuzi wao uthibitishwe na Bunge, alisema(Sumaye).
Naomba tujadili nukuu hii.
Source:Tanzania Daima 18/1/2013
Naomba tujadili nukuu hii.
Source:Tanzania Daima 18/1/2013