CCM Mwanza wamepanic?

CCM Mwanza wamepanic?

Dona Kantri

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
346
Reaction score
115
Heshima kwenu wanakijiji wenzangu.

Mwalimu wangu aliwahi kuniambia kuwa unapotaka kutengeneza theory lazima uwe na hypothesis ambayo utaifanyia investigation kupitia njia tofauti za ukusanyaji wa data!

Leo saa 10 alfajiri kuna gari ya matangazo ilikuwa kipita mitaa tofauti tofauti ya jiji la Mwanza kutangaza mkutano wao utakao fanyika uwanja wa Nyamagana tar20/1/2013 mgeni wa heshima atakuwa makamu mwenyekiti wa CCM taifa bwana Mangula.

My research question "Ni kwa nini CCM Mwanza waanze matangazo saa10 alfajiri muda ambao asilimia 90 ya watu wanakuwa bado wamelala?" nisaidieni majibu nitengeneze theory!
 
Asubuhi watawasikia vizuri si unajua watu wanakuwa wametulia!!
 
..wanahofu .....homa kali ya gesi..... punde itahamia kanda ya ziwa...
 
Mi najua watu wa mwanza ni waelewa sana. Hata utangaze saa 6 usiku na wakajua ni swala linalo husiana na ccm hawatahudhuria labda wanawatangazia mabalozi wao na familia zao
 
Isije ikawa walianza mapema ili ku cover eneo kubwa kwa siku nzima ya leo! Na hapo walipo anzia ndo maeneo ya kwako mkuu.

Pia, wewe kama researcher, ambae tayari una reserch question na tayari hypothesis umeishazitengeneza, tunakuomba ufanye kazi yako na si kutuuliza sisi.

You are in a very better position to investigate the matter and come up with valid answers' kwa sababu upo eneo la tukio.

Endelea kufuatilia mkuu, na usiishie leo tu, fuatilia mpaka kesho siku ya mkutano, ili Conclusion yako iendane vizuri na objective, reserch question.

Hope umenipata mkuu
 
Hapa mwanza toka Mfumo wa chama KIMOJA ,mikutano ILIKUWA ikitangazwa mida hiyo,LABDA Kama wewe ni mhamiaji wa mji Huu utaona ni jambo geni kwako.
 
CCM lazima wapagawe maana viongoz wake wote wachumia tumbo, Wanatangaza ushaid tu then waanze kuwasomba toka vijijini kuficha aibu!!! wengine wanaingia leo saa kumi toka geita.
 
kanda ya ziwa ccm haina mvuto, na huyo mangula ndo anaenda kuwatibua zaidi. by now kila mti kwa ccm unateleza. we subiri uone, mwisho wa siku lazima wataitupia cdm lawama! these guys are muflisi!
 
Mganga wao kawaagiza watangaze matangazo yao muda huo, akiwaaminisha kwamba ndio watapata umati mkubwa wa watu kuja kwenye mkutano wao.
 
hata samaki sato na sangara wakisikia tangazo la ccm wanaziba masikio
 
Heshima kwenu wanakijiji wenzangu.

Mwalimu wangu aliwahi kuniambia kuwa unapotaka kutengeneza theory lazima uwe na hypothesis ambayo utaifanyia investigation kupitia njia tofauti za ukusanyaji wa data!

Leo saa 10 alfajiri kuna gari ya matangazo ilikuwa kipita mitaa tofauti tofauti ya jiji la Mwanza kutangaza mkutano wao utakao fanyika uwanja wa Nyamagana tar20/1/2013 mgeni wa heshima atakuwa makamu mwenyekiti wa CCM taifa bwana Mangula.

My research question "Ni kwa nini CCM Mwanza waanze matangazo saa10 alfajiri muda ambao asilimia 90 ya watu wanakuwa bado wamelala?" nisaidieni majibu nitengeneze theory!
Acha majungu si hata wewe umesikia nakutujuza ? Wametumia akili muda tulivu ndo mana na wewe umesikia
 
Acha majungu si hata wewe umesikia nakutujuza ? Wametumia akili muda tulivu ndo mana na wewe umesikia

Hahahahahaaa!!! Ndugu yangu kwenye research haya nayo nimajibu nikikulaumu ntasababisha something called research bias!
 
Hata hivyo wanatangaza wakisema " Katu hatutaongelea habari za CHADEMA na siasa siyo chuki". CCM wanawaogopa Chadema ile mbaya kwa sasa kisiasa na inaonekana CCM ipo kwa sababu ya polisi tu. kauli mbiu yetu kwa sasa kuelekea 2015 kama wanaCHADEMA ile "" STAAFISHA NA TAIFISHA CCM(walivyopora) KWA MANUFAAYA UMMA"".
 
Mkuu si unajua kuwa hawa wenzetu chama chao kina muelekeo wa kimapepo zaidi? Si ajabu wamepokea maelekezo toka yule marehemu wa mwembechai.
 
>Ufisad /Rushwa/ wachumia tumbo wameongezeka ndan chama.
>Hofu ya hasira za wananchi
>Hamna jipya
>Utekelezaj sifur
>Wananch Shida zimezid
>Hamna mvuto mpaka wanachama wanapata kigugumiz kusema ''kidumu chama cha Mapinduz''

USHAUR KWA WANAMWANZA;
Kama mna muda nenden mkawasikilize viongoz wa 2010-2015, msikatae wito, kataen maneno. Muonekano wenu wa sura, mavaz n.k unaweza ukawakumbusha jambo na kuwapa picha halisi.
 
Tatizo lingine linalowakabili Magamba ni kwamba walizoea sana tunguri ambazo sasa zimeexpire na waganga wao kama akina Yahaya wameshakufa tayari. Otherwise wameshakuwa crazy. Unamtangazia mtu mkutano kwa PA wakati amelala?
 
Back
Top Bottom