Diwani wa CHADEMA apishwa

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,456
1,563
Leo mmekuwa siku ya furaha kwa wanachama wa chama cha CHADEMA kwa kuapishwa kwa diwani wa kata ya Mlangali wilayani Ludewa mkoa wa Njombe mheshimiwa Faraja Mlelwa,shughuli iliyofanyika saa5 kamili hadi saa 5:20,

Jembe hilo limeahidi kufanya kazi kwa kufuata misingi ya chama(chadema)na kuwaomba vyama vingine kuweka uchama pembeni na kuleta maendelo kwa wapoiga kura wao.

Kazi njema mhe diwani ya Faraja Mlelwa.sipo eneo la tukio ningeweka picha

Chanzo best fm radio ludewa.
 
ninakuamini sana diwani wangu wa chama makini, naamini ni mwanzo mzuri wa mabadiliko makubwa wilayani Ludewa
 
kama ilivyojina lake awe faraja kwa wananchi wa kata yake ili asimamie haki na utawala bora
 
Hôngera mheshimiwa diwani, kikuze chama chako kwa kuwapa huduma nzuri wananchi waliokuamini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom