Kwasasa mnaonekana lulu ndani ya chamba kwa jinsi ambavyo mmebebeshwa zingo zito la kutetea chama ambacho kimefikia expiry date yake.
Mmekuwa mkisifiwa kwenye vikao vyenu kwajinsi mnavyojua kueneza propaganda za udini, ukanda, ukabila na mauaji.
Kumbukeni ya kwamba vitabu vitakatifu vinasema kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe. Hii ni karne ya 21 na kila mtanzania yuko makini, propaganda za uongo hazidumu.
Dk Slaa amejijengea umaarufu kutokana na uwezo wake wakuongea mambo kwa data. Mwaka 2007 alitoa orodha ya mafisadi pale mwembe yanga mkamsema ni mwongo mchonganishi na mkatishia kumshtaki lakini hadi leo hakuna hata mtuhumiwa mmoja amethubutu kwenda mahakamani. Pia aliibua kashfa nzito za Rada, EPA na Richmond wote mkasema ni mwongo lakini leo yote yametimia. Mtambeza kwa kila hali lakini sisi watanzania tunatambua mchango wake na uwezo wake mkubwa kisiasa na kiutendaji na kamwe hamutamweza kwa njia ya jukwaa labda kwa mchezo mchafu
Juzi kibaha mmetengeneza kadi za chadema na kujigawia baadaye mnasema mmepokea wanachamama wapya, kumbukeni ukipanda hila utavuna hila na sisi watanzania tuko makini.
Angalieni zaidi ya nyie wawili hakuna mtu mwingine anayekitetea tena chama maana hamna ile moral authority kwa jinsi hiki chama kimetufikisha watanzania kwenye wimbi la ufukara na umaskini.
Nitaendelea kuwashauri ila kwa leo pokeeni hayo kwanza
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums