Amsha amsha chadema!ccm lazima wakubali!

Dik

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
1,205
Reaction score
416
Nashauri baada ya kamati kuu ya CCM kupatikana na kujiaminisha kuwa wao ni tumaini jipya la CCM kwa kufanya mikutano sehemu mbalimbali,uongozi CHDM uandae mikutano mikubwa ya amsha amsha kwenye miji ya Arusha,Mwanza,Mbeya,Kilimanjaro,Iringa,Kigoma,Morogoro,Songea,Dar es Salaam nk ili kuithibitishia CCM Kwamba bado tunaipenda CHDM mbali ya propaganda zao chafu!NI WAZO LANGU TU!
 
Siasa zimekuwa za kuigana sana sasa hivi si lazima CDM wafanye wafanyacho CCM waje na ubunifu mwingine kwa kipinde kingine.
 
Subiri, sasa hv tunacapitalize Mtwara na maeneo ya kusini kwanza...vinginevyo gesi inaenda kwa Mchina kumkomboa mwana wa mtu.
 
\CHDM uandae mikutano mikubwa ya amsha amsha kwenye miji ya Arusha,Mwanza,Mbeya,Kilimanjaro,Iringa,Kigoma,Morogoro,Songea,Dar es Salaam nk ili kuithibitishia CCM Kwamba bado tunaipenda CHDM mbali ya propaganda zao chafu!

Stay tuned,
Baada ya kumalizika vikao vya kamati kuu vitakavyofanyika tar 26,27 na 28 mwezi huu, ndipo M4C ya mwaka wa nguvu ya umma itakapozinduliwa rasmi.

Hapo ndipo tutakapoanza mchaka mchaka ambao ni nonstop mpaka 2014 kwenye chaguzi za serikali ya mitaa, halafu tunaendeleza tena mchakamchaka mpaka 2015 aluta kontinua.
 
pamoja sn kamanda!
 
Wataisoma namba mwaka huu.
 
Back
Top Bottom