mungu atusaidie sna kweli inauma sanaHii ni ajali ya pili inartipotia hapa JF leo. UKichanganya na ile ya Mbeya ina maana watanzania sita wamepoteza maisha kwenye ajali leo hii.
Poleni sana wafiwa na majeruhi wapate kupona haraka.
Lakini wakati tunatoa pole ni wakati kila anayehusika; madereva, askari wa usalama wa barabarani, watumiaji wengine wa barabara ---- makini na kutekeleza wajibu wetu ipasavyo ili kuzuia ajali zinazotoa roho za wapendwa wetu kila mara