Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
Sasa hivi uchafu uchafu wote unatoka ambao ungewasumbua close to 2015, sasa swali langu nauliza huu unaotoka unajichuja wenyewe au unashindwa kustahimili displine za usafi? Nawapa hongera sana CHADEMA bora muwe na viongozi wachache sana wasafi kuliko kuwa na lundo wachafu. Wapiga kula ndio tupo lundo na ndio lundo ambalo linatakiwa lisipungue liongezeke.