Kesi ya makada chadema Arusha bado ipo

Kesi ya makada chadema Arusha bado ipo

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
619
Reaction score
257
Wanajamvi mwenye taarifa sahihi anijuze! hivi ile kesi ya makada wa chadema walioshtakiwa kwa kosa la mkusanyiko na maandamano bila kibali jijini arusha bado inanguruma!? Au nini kilijiri manake sijaisikia siku nyingi mno ikitajwa
 
Back
Top Bottom