CHADEMA ilizaliwa lini?

CHADEMA ilizaliwa lini?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,267
Pengine wengi hatujui hili. Kadhalika sikuwahi kusikia sherehe za kuzaliwa chama chetu pendwa.

Ni wakati sasa walio wanachama, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA kujua hili na kuwa na siku maalum katika mwaka kusherehekea hili.

Nawasilisha.
 
Pengine wengi hatujui hili. Kadhalika sikuwahi kusikia sherehe za kuzaliwa chama chetu pendwa. Ni wakati sasa walio wanachama, wapenzi na mashabiki wa cdm kujua hili na kuwa na siku maalum katika mwaka kusherehekea hili. Nawasilisha.

Mi mwenyewe nilikuwa najiuliza hospitali na jina la mkunga. Najua leo ntapata majibu sahihi
 
Ni kweli kabisa Bujibuji. Wengi hawajui hili
 
Last edited by a moderator:
Maadhimisho yanakuwa na vipindi maalum, platinum 25 yrs, silver 50 yrs, gold 75 yrs ....... Labda wanasubiri vipindi kama hivyo .....hili la kusherekea kila mwaka kama mbio za Mwenge ni kufilisika kimawazo.............
 
kIlizaliwa 21/01/1993 ndani ya CHINI YA MTI.

na sasa tumetimiza miaka 20, hakuna aja ya kupoteza rasilimali cha chama kufanya masherehe kama ya MACCM,.... KIKUBWA SASA NI UKOMBOZI WA KWELI NA HAKI

Peoplesssssss.....!
 
Ni vyema kujua siku rasmi na tarehe ambayo chama hiki kiliasisiwa. pia angalia isije kuwa ni wewe uliyefilisika kimawazo
 
kIlizaliwa 21/01/1993 ndani ya CHINI YA MTI.

na sasa tumetimiza miaka 20, hakuna aja ya kupoteza rasilimali cha chama kufanya masherehe kama ya MACCM,.... KIKUBWA SASA NI UKOMBOZI WA KWELI NA HAKI

Peoplesssssss.....!

Pamoja Kamanda.
 
Enyi mnaojibu kishabiki subirini watakapokuja wahusika kuweka rekodi sahihi hapa ndio mjisikie vizuri. Hili suala si la mzaha hata kidogo kutaka kujua chama kimeasisiwa lini. Kama wengine wetu hatuna uhakika na tusemacho bora tutulie na kufuatilia tu
 
umeeleweka ....na kusomeka vizuri...
 
No rasmi ni tarehe 21/01/1993, but wazo na kikao cha kuunda CDM ambao waasisi 17 walikutana ni 2/7/1992.

Inabidi historia ya cdm ipangwe tena upya na ieleweke kwa wadau. Wikipedia wakati mwingine sio reliable source ya information. Yeyote anaweza kuhariri
 
Back
Top Bottom