Kiwa
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,102
- 910
kulipa kodi sio kitu kibaya kwani toka enzi za akina yesu huko watu walikuwa wanalipa kodi ila tu walionywa wasilipishe watu ushuru zaidi ya kiwango.
Mimi kama mzalendo sitakuwa na manung'uniko kama nitaona kodi yangu inatumika:
1. kujenga shule na vyuo vyenye ubora.
2. kujenga hospitali zenye ubora.
3. kujenga barabara na miundombinu yenye ubora.
4. kuwalipa wafanyakazi ambao tunawahitaji sana kwa maendeleo na kijamii kama waalimu na madaktari.
5. kutumika katika miradi na uwekezaji wenye tija na faida kwa mtanzania.
...............na mengine mengi ambayo yana manufaa kwa taifa.
Ila roho huwa inaniuma sana pale mwisho wa mwezi ninapoona kamshahara kangu kadogo kamekatwa kodi kubwa na mambo kama haya ndio yanatumia kodi yangu ninayolipa.
1. safari za nje ya nchi kwa viongozi za kila siku za gharama nyingi na siziso na manufaa zisizoisha.
2. kutumika katika vitu visivyo vya msingi kama kununua vitu visivyo na tija kwa gharama kubwa kwa nchi yetu maskini. ikiwemo kujenga bunge kuuuuuubwa ambalo watu wanaenda kusinzia tu na kufanya maigizo yao ambalo hata hizo nchi ambazo tunakimbilia kuomba misaada hawana.
3. kununua magari ya kifahari meeeengi na kuyahudumia
4. semina, kongamano, warsha na takataka nyingine nyingi zisizoisha ambazo hazina faida coz ni njia tu watu wanajitafutia kutafuna kodi zetu.
5. wanaojiita wenye nchi kujilipa mihela mingi ambayo hiyo hiyo wanatumia kutunyanyasia sie walipa kodi kwa kutunyang'anya mademu zetu,wake zetu na dada zetu ilhali watu wenye umuhimu katika jamii kama waalimu na madaktari kwakipuuzwa na kudharaulika.
6. kutumia hela nyingi kutengeneza miundombinu mibovu ambayo kwa muda mfupi inaharibika
7. elimu MBOVU kabisa.
.............haya ni machache tu ila najua kama na wewe ni mlipa kodi unayajua mengine mengi.
WE NEED TO change coz hiyo hela wanayopatia kiburi ni yetu na tuna haki ya kuhoji.