Ni mara kadhaa jeshi la Police limekuwa linatumiwa vibaya na chama tawala,kitu ambacho kimesababisha police wawe dhaifu na kushindwa kutekeleza majukumu yao hata inapotokea vurugu ndogo tu kama ya...
Updates za Baadhi ya maazimio:
- Gesi isiondoke mpaka serikali iiweke wazi mikataba yote kwa wananchi!
- Serikali iende ikae na wananchi na kuwasikiliza ili waridhiane. Kila kitu kisitishwe kwa...
Chama cha demokrasia na maendeleo ili kuondokana na viongozi wenye asili ya uchu na uroho wa madaraka badala ya kutetea sera, maadili, kanuni na kutumikia wananchi inakipasa chama kubadili katiba...
Wakati Chama chetu cha CHADEMA kitakaposhika dola 2015 kitaingia na sera mpya ya majimbo, na kimefafanua jinsi tawala hizo za majimbo zitakavyo kuwa kama ifuatavyo:
TAWALA ZA MAJIMBO NA...
Tabia ya kuwagawia pesa ndogondogo wananchi wa Iramba hususani vijana,jana nusura imwingize matatani mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba.
Mbunge huyu amekuwa na tabia ya kugawa fedha hovyo kwa kila...
Nchi yetu imekosa vijana wazalendo bali tumekuwa na vijana wasiokuwa watekelezaji wa kile wanachokisema, mh. Zitto aliibuka na hoja ya kudai kuna mabilioni uswisi yanayomilikiwa na vigogo wa hapa...
Nimeamua kutafuta ukweli kuhusu kauli ya naibu waziri wa nishati George Simbachawene kuhusu usafirishaji wa umeme wa gesi ukizalishwa mtwara kuwa inahitajika kujenga line nne ili kuweza...
Hello wana-JF,
TAARIFA ZA KUAMINIKA: Kulikuwa na uchaguzi wa vitongoji vitano huko katika wilaya ya Muleba na mpaka naingia mitamboni tayari CDM ilikuwa imeshanyakua viti vyote vinne, kimoja bado...
Filikunjombe akiongea na wananchi wa Kata ya Lugarawa
Mbunge wa Ludewa Deogratias Filikunjombe Haule ameungana na wapiga kura wake wa Ludewa kudai miundombinu, viwanda na ajira tokana na madini...
Wadau, nimeshangazwa sana kuona habari kwenye gazeti la Mwananchi viongozi wa CCM wakisema eti "Serikali Iwasikilize Wananchi wa Mtwara". Kauli hizo zimetolewa na Katibu Mkuu Abudulrahim Kinana...
Tatizo linalojitokeza Mtwara isichanganywe na laana za rasilimali zinazoikumba bara la Afrika. Huu ni mwamko mpya ambapo wananchi wanatambua haki zao za msingi na kuamua kuyapigania, hasa...
JUMANNE, JANUARI 29, 2013 05:18 NA MAREGESI PAUL
*Akutana na jinamizi la vigogo wa serikali kukataliwa
*Mkuu wa mkoa, mawaziri wawili wawekwa kitimoto
*Wahoji mitambo ya Mtera kutojengwa Dar es...
LUKOSI kanisimulia haya machache tu na nikamuelewa...
Nilikuwa natafuta injini ya kufunga kwenye gari langu.
Nikaenda dukani kununua injini.
Nikakuta injini mbili, moja ina miaka 35 na nyingine...
Habar wakuu
Wazir wa Ardhi mama Anna Tibaijuka ametangaza rasmi Kigamboni kuwa mji mpya na wenye serikali yake (Autonomous Distric) chini ya Kigamboni Development Agency (KDA).
My concern
kumbe...
Kwa nilichokishuhudia katika mchakato wa kuchangia mswada wa katiba mpya .kunahaja ya kufanya yafuatayo:
1. Wabunge kupimwa akili kila siku kabla ya kuingia bungeni
2. Kuwa wanaandikiwa na...
Naamini na nnadiriki kuandika kuwa Watanzania ni wabaguzi, ubaguzi wao si wa kidini au wa kijinsia au wa kikabila au wa rangi. Hizo ndio njia kuu zijulikanazo za ubaguzi duniani.
Watanzania...
Tuesday, January 29, 2013
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka
Mawakala wakunja Dola 5,000 kwa kichwa
Kwa siku wanapita hadi wanane bandarini
Biashara ya binadamu imeibuka kwa kasi...
Jamani nimemsikiliza waziri mkuu Bwana Pinda katika kauli zake na tafadhari "read between line". Kasema hivi mtwara mtafaidika na kiwanda cha mabaki yatokanayo na gesi na si kwamba mtafaidika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.