Tanzania Nchi Majivuno

Tanzania Nchi Majivuno

mbufi

Senior Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
100
Reaction score
12
Oooo....! Tanzania nchi tajiri tunakila mali asili tunawakaribisha kuja kuwekeza .

Maskini Tanzania nchi iliyojaa mangazimbwe na mali asili zake ,Majivuno anakila aina ya utajiri Maziwa ya kutosha, Bahari, Mito, Misitu, Madini ya kila aina, Gesi asili pengine mafuta pia yapo, Mbuga za Wanyama zipo mingi mingi, Mt kilimanjaro ,ardhi yenye rutuba, miamba mbali mbali.

Viongozi wake wake wamekuwa wakusimama na mapiswa ambayo yanatufanya tuendelee kuwa watu mapomole na kutegemea manjilili kama mfariji wetu.

Ukitangazwa uchaguzi ndo unakuwa mwanzo wa Msiba Mkuu mpya mazoba wanahongwa kanga, kofia, sukari, chumvi, wali maharage kama malimati za huu msiba mazoba wanawapa nafasi na kwenda kufanya maumbufu dhidi ya maliasili zetu

Mola atusaidie CDM ndo MKOMBOZI
 
Hata yule mwanafunzi alimuuliza mwalimu, kwa nini Tz ni masiki, mwalimu akapigwa na butwaa. Mtoto alimkata maini mwalimu na flow ya somo ikavurugika. Ruswa ni hatari, hi hadui wa haki.
 
Tatizo siyo rushwa ndugu zanguni,Tatizo ni ile wine inayoitwa MADARAKA ambayo hatujui kilevi chake ni asilimia ngapi?Na imetengenezwa wapi?Maana kama tungejua kiwanda chake tungekwenda kukifunga.Maskini Tanzania yangu sijui kama mjukuu wangu atakuona...........Naililia Tanzania yangu...............
 
Back
Top Bottom