Jamani kwetu ni mzenj halisi nimekukimbia too kwa maisha. Ila nimepanga kurudi ila huku naskia sana habari za ivo vidau vya uko vinzaaaama toooo roho za watu zinaenda. Serikali sijui imetilia msimamo wa ilo jambo mana nataka kuja kama kuna marekebisho yoyote au unaijua meli mazbuti nambieeeeni jamaaaaaa naogopa, hapa changu zatoka sii mnajua roho ni taaaamu. Pleasee jamani nambieniii nijue nafkiria hiloo toooo sasa apo daressalam nikifika sawa ofye lakini bado kuvuka kidau.heeeee hii balaaaaaa