Historia imeandikwa leo Mtwara kwa kitendo ya pande mbili kufukia mashimo na kufikia muafaka wa kusahau yaliyopita kwa kuanza ukurasa mpya wa kusameheana kuanza harakati za kujenga nchi yetu. Kuna...
Mchungaji Rwakatare atoampya Baraza la Maadili
Mwananchi - Thursday, 16 June 2011
Nora Damian
MBUNGE wa Viti maalum (CCM), Mchungaji Getrude Rwakatare jana alitoa mpya mbele ya Baraza la Maadili...
Mbunge wa kigoma kasikazini mh. Zitto Kabwe ametimiza ahadi yake aliyokuwa amewaahidi wapiga kura wake, iwapo kuna kata ambayo ingefanikiwa kuwa na viongozi wote wa kutoka CHADEMA angewafanyia...
Katika gazeti la Mtanzania la leo, nimebahatika kusoma makala ya Mh Zitto Kabwe. Katika makala hayo Zitto ameelezea vizuri kiini cha matatizo ya vurugu za mtwara kwa mtazamo wake. Nakubaliana na...
Harakati za ukombozi,huitaji ujasiri na watu wenye uthubutu kama huyu kamanda.hongera kamanda alphonce mawazo,na kamanda husna,kwa kumuhamisha meya(matata),kusababisha kilio cha ccm...
MOJA ya mambo yaliyoamsha hisia za wakazi wa Mkoa wa Mtwara hadi kushinikiza kwa vurugu wakitaka gesi isitoke mkoani humo, ni taarifa kuwa nishati hiyo ingepelekwa wilayani Bagamoyo, nyumbani kwa...
Leo asubuhi katika mahojiano kati ya mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema amesema kuwa mkurugenzi wa jiji la Arusha pamoja na meya wake wameitisha kikao cha kupanga bajeti ya jiji la Arusha...
SERIKALI imekiri kuelemewa na mikopo ya elimu ya juu inayotolewa kwa wanafunzi kutokana na ongezeko la wanafunzi wa kidato cha sita na wengine wenye sifa linganifu kupata mikopo hiyo.
Waziri wa...
Wanabodi, kwenye magazeti ya leo nimesikia wakubwa wakijidai kuwa sasa wanataka kuwasaka wachochezo wote, ni sawa, lakini naomba chonde chonde, wasiache kumkamata Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Ndugu...
JOSEPHAT SIMON SANDA
S.L.P 13914 DAR ES SALAAM
SIMU YA MKONONI: 0659 281964 BARUA PEPE: josephatsanda@yahoo.com
8 FEBRUARI 2011
KUMB: JSS/BLT/0802/03
WAHESHIMIWA WABUNGE WA...
JUMATANO, JANUARI 30, 2013 06:14 NA WAANDISHI WETU
*Hofu ya mataifa tajiri kumwaga fedha yafichuka
*Serikali yachunguza wanasiasa, wanaharakati
*Hatimaye kilio cha wakazi wa Mtwara chasikika...
Naibu katibu Mkuu Zanzibar amesema Urais 2015 sio zamu ya Zanziba kama ilivyokuwa. CCM Zanzibar hailazimishi utaratibu huo kutumika mwaka 2015 Mwana CCM Yeyote atakayepitishwa ama mtanzania bara...
1. WABUNGE WAWE NA UKOMO VIPINDI VIWILITU. kudumisha demokrasia zaidi
2. KUWE NA SIKU 4 ZA KUFANYAKAZI J3-ALHAMISI-siku tatu zitumike kwenye shughuli za kilimo na ufugaji, kujipatia kipato zaidi...
Kwa kipindi cha wiki mbili na ushei zijazo kuanzia leo, macho na masikio ya wananchi yanahamia Dodoma ambako Mkutano wa Kumi wa Bunge unaanza leo.
Huu ni mkutano wa kawaida kwa mujibu wa mikutano...
ZAIDI ya nusu ya kaya za wananchi wa Bonde la Mpimbwe katika wilaya mpya ya Mlele, mkoani Katavi, hawana wala hawatumii vyoo hali inayochangia kuibuka kwa magonjwa ya mlipuko ya mara kwa mara...
Kuna mtu jana alipost video ya YOUTUBE nadhani ilikuwa ni ya kikao cha bifu zao huko BAVICHA lakini kilichonishangaza ni jinsi democrasia inavyooendeshwa kwa mithili ya kihuni na ubabe na jamaa...
Chama cha Mapinduzi kikemeendelea kuwakuna wananchi wa Kigoma kutokana na ukaribu wao na wananchi pampja na kutekeleza ahadi lukuki za kuwaondolea matatizo wananchi. Kuna kila dalili kuwa vyama...
NImeangalia na kufikiri na nikafikiri na kuangalia baadaye it hit me like a broken bulldozer! Wananchi wa Mtwara wameweza kuipigisha serikali ya CCM magoti. Mtwara na Lindi zimekuwa ngome nzito...
Kwa kweli inasikitisha sana,kuona Jeshi letu la Polisi linageuka kuwa wauwaji wa Raia,badala ya kuwa walinzi wa Raia na mali zao.
Taarifa ya habari saa mbili usiku huu,ktk kituo cha ITV...
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maazimio ya Kikao cha Dharura cha Baraza Kuu la CHADEMA, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi, John Mnyika amesema ujenzi wa bomba la gesi (usafirishaji) ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.