CCM yapanga kuifanyia hujuma CHADEMA Kibondo

jembe la kigoma

Senior Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
119
Reaction score
19
Chama cha mapinduzi (CCM)wilayani Kibondo mkoani Kigoma imepanga kufanya hujuma kubwa kwa chama cha democrasia na maendeleo (CHADEMA),CCM ikwa kuwatumia vijana wake wa green guard imepanga kung'oa bendera zote za CHADEMA mjini humo usiku huu,kwa mujibu wa katibu mwenezi wa CHADEMA wilayani humo bwana Safari Andrea amesema hujuma hii ilitaka kuanza asubuhi ya leo pale mjumbe wa kamati kuu ya CCM bwana Moshi Mahindi,akiambatana na kijana mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Medinyo walipomfata eneo lake la kazi na kuanza kumshawishi apokee fedha shilingi laki moja kwa kuanzia nyingine huku wakimtisha kwa kumwambia wametumwa na mkuu wa wilaya hiyo ya Kibondo bwana Venasi Mwamoto a viongozi wa CCM mkoa,bwana Andrea alipokataa walimtishia kuzing'oa bendera hizo usiku wa leo na kwamba hawata fanywa lolote,hali iliyopelekea vijana kadhaa wa CDM kujitolea kuimalisha ulinzi,inadaiwa chanzo cha hujuma hiyo ni hatua ya mkuu wa wilaya hiyo bwana Mwamoto na CCM wilaya kutaka kuwaonesha viongozi wa CCM mkoa na taifa kuwa Kibondo hakuna upinzani hasa CDM,

KINANA,BULEMBO WAMPOROMOSHEA MATUSI NA KASHFA MBUNGE MKOSAMALI

Katika hatua nyingine katibu mkuu wa CCM taifa ndug Abraham Kinana,alimtolea maneno ya kejeli mbunge wa jimbo hilo bwana Felix Mkosamali kuwa hakustahili kuwa mbunge bali wananchi walimchagua kutokana na hasira za wananchi,"mbunge gani mlevi,mkesha bar,mpenda disko zaidi akiwa anapinga maendeleao"hali iliyoamsha miguno kutokana kwa wananchi,hali kashfa hizo ziliendelea hata pale alipokuwa akihutubia mwenyekiti wazazi CCM bwana Bulembo yeye alienda mbali zaidi kwa kuwauliza na kuwataka wanyoshe mikono juu watu ambao hawatampa kura mbunge wa sasa,ambapo katika hali iliyowastua viongozi hao walinyosha watu wasiozidi 9,
MATAWI YA CCM YALIYOZINDULIWA NA KINANA YAPANDISHWA BENDEA ZA CHADEMA.

Katika hali ya kushtusha zaidi matawi mawili yaliyozinduliwa na viongozi hao(Kinana na Bulembo) maduka 7 na tawi lingine lilipo mitaa ya Pentagoni yalipandisha bendera za CHADEMA ilipofika jioni tu,wakizungumzia hali hiyo baadhi ya wakazi wa wilaya hiyo Mwalimu Kaladoga na Abubakari walisema wakazi wengi wa wilaya hiyo ni wafuasi wa CDM sema tu wengi ni maskini ndo mana wamekuwa wakidanganyika kirahisi,na wamekuwa wanakula hela za CCM kisha wanawapgia kura wapinzani.

  • :iamwithstupid:
 
jembe la kigoma Mgamba wanatapatapa sana huku wakizidi kuwaibia wananchi maskini,hasa Kinana akiona wanyama mwili unamuwasha

  • A%20S%20angry.gif
 
Last edited by a moderator:
Yaani km mwanamke hakutaki
Unaweza maliza washenga
Ndiyo magamba sasa.
 
Hiyo ya bendera kupandishwa na kubadilishwa katika kipindi kifupi inadhihirisha wananchi wanavyowadhihaki wambeya wakisiasa yaani wamekaa kudanganya wananchi na kumbe wananchi wanajua janja ya nyani ukiona hiyo ndio mikutano ya Katibu mkuu wa chama iko kama mikutano ya katibu kata CCM basi kazi wanayo kwa Kigoma
 
Chama cha mapinduzi (CCM)wilayani Kibondo mkoani Kigoma imepanga kufanya hujuma kubwa kwa chama cha democrasia na maendeleo (CHADEMA),CCM ikwa kuwatumia vijana wake wa green guard imepanga kung'oa bendera zote za CHADEMA mjini humo usiku huu,kwa mujibu wa katibu mwenezi wa CHADEMA wilayani humo bwana Safari Andrea amesema hujuma hii ilitaka kuanza asubuhi ya leo pale mjumbe wa kamati kuu ya CCM bwana Moshi Mahindi,akiambatana na kijana mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Medinyo walipomfata eneo lake la kazi na kuanza kumshawishi apokee fedha shilingi laki moja kwa kuanzia nyingine huku wakimtisha kwa kumwambia wametumwa na mkuu wa wilaya hiyo ya Kibondo bwana Venasi Mwamoto a viongozi wa CCM mkoa,bwana Andrea alipokataa walimtishia kuzing'oa bendera hizo usiku wa leo na kwamba hawata fanywa lolote,hali iliyopelekea vijana kadhaa wa CDM kujitolea kuimalisha ulinzi,inadaiwa chanzo cha hujuma hiyo ni hatua ya mkuu wa wilaya hiyo bwana Mwamoto na CCM wilaya kutaka kuwaonesha viongozi wa CCM mkoa na taifa kuwa Kibondo hakuna upinzani hasa CDM,

KINANA,BULEMBO WAMPOROMOSHEA MATUSI NA KASHFA MBUNGE MKOSAMALI

Katika hatua nyingine katibu mkuu wa CCM taifa ndug Abraham Kinana,alimtolea maneno ya kejeli mbunge wa jimbo hilo bwana Felix Mkosamali kuwa hakustahili kuwa mbunge bali wananchi walimchagua kutokana na hasira za wananchi,"mbunge gani mlevi,mkesha bar,mpenda disko zaidi akiwa anapinga maendeleao"hali iliyoamsha miguno kutokana kwa wananchi,hali kashfa hizo ziliendelea hata pale alipokuwa akihutubia mwenyekiti wazazi CCM bwana Bulembo yeye alienda mbali zaidi kwa kuwauliza na kuwataka wanyoshe mikono juu watu ambao hawatampa kura mbunge wa sasa,ambapo katika hali iliyowastua viongozi hao walinyosha watu wasiozidi 9,
MATAWI YA CCM YALIYOZINDULIWA NA KINANA YAPANDISHWA BENDEA ZA CHADEMA.

Katika hali ya kushtusha zaidi matawi mawili yaliyozinduliwa na viongozi hao(Kinana na Bulembo) maduka 7 na tawi lingine lilipo mitaa ya Pentagoni yalipandisha bendera za CHADEMA ilipofika jioni tu,wakizungumzia hali hiyo baadhi ya wakazi wa wilaya hiyo Mwalimu Kaladoga na Abubakari walisema wakazi wengi wa wilaya hiyo ni wafuasi wa CDM sema tu wengi ni maskini ndo mana wamekuwa wakidanganyika kirahisi,na wamekuwa wanakula hela za CCM kisha wanawapgia kura wapinzani.

  • :iamwithstupid:
Asante sana kwa taarifa Jembe la Chigoma! Ila umenitatiza kidogo umeenda lini maana unariport kama upo eneo la tukio na hivi majuzi ulikuwa ukilalamikia ada SAUT, vipi hufanyi mtihani maana ninavyojua SAUT -Mwanza wapo kwenye mitihani. SIASA TUFANYE NA kusoma tusome mkuu!
 
Hizi siasa za CCM za kutukana wabunge wa CDM walevi na wazinzi majukwaani mbona zilishapitwa na wakati.Hivi kweli hizo ndio strategy za Kinana kiongozi mpyaa? CCM inajimaliza
 
ndio siasa mzee mbona chadema nao wanafanya hujuma nyingi kwa sisim
 
Hizi siasa za CCM za kutukana wabunge wa CDM walevi na wazinzi majukwaani mbona zilishapitwa na wakati.Hivi kweli hizo ndio strategy za Kinana kiongozi mpyaa? CCM inajimaliza

huko kg ni Mkosamali ndie alitukanwa na kukejeliwa
 
Asante sana kwa taarifa Jembe la Chigoma! Ila umenitatiza kidogo umeenda lini maana unariport kama upo eneo la tukio na hivi majuzi ulikuwa ukilalamikia ada SAUT, vipi hufanyi mtihani maana ninavyojua SAUT -Mwanza wapo kwenye mitihani. SIASA TUFANYE NA kusoma tusome mkuu!
Kwa taarifa tu dunia ni kama kijiji kwa sasa na tupo digitali na c analogia mkuu unaweza ukawa Muheza ukapata taarifa za Donge siku hiyohiyo.we mbona haupo chumba cha mtihani?,so toa hoja c majungu Gamba we
 
We mbona unalipuka kama petrol hivyo, unayafahamu majungu? Mi niliuliza kwa sababu ulivyotoa habari ulikuwa ni kama first person narrator, vinginevyo nisingeuliza, na kwa sasa sipo darasani!
 
Hizo pembe za mbuzi zinaurefu gani?$

Hivi hizo pembe za mbuzi zenyewe zinasema wazi ...kuwa kujipatia maendeleo lazima kukiunga mkono CHADEMA. Pembe zime kaa ki'V' kwenye kichwa cha mbuzi, alama itumiwayo na wafuasi wa CHADEMA (Hii ni tafsri yangu).
 
We mbona unalipuka kama petrol hivyo, unayafahamu majungu? Mi niliuliza kwa sababu ulivyotoa habari ulikuwa ni kama first person narrator, vinginevyo nisingeuliza, na kwa sasa sipo darasani!

Da! mkuu MWAKABANJEsijui unanjaa ama kilevi hakijaisha,me nalipuka kwa kuwa umehoji vitu ambavyo hata mwanangu Joniah hawezi kuviuliza,bt Mwenye Post ni Jembe la Kigoma si mimi Kwa Mungu mbali umenipata?

:mwaaah:
 
Hivi hizo pembe za mbuzi zenyewe zinasema wazi ...kuwa kujipatia maendeleo lazima kukiunga mkono CHADEMA. Pembe zime kaa ki'V' kwenye kichwa cha mbuzi, alama itumiwayo na wafuasi wa CHADEMA (Hii ni tafsri yangu).

Kweli hiyo tafsiri yako

  • 😱hwell:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom