Akihutubia katika kilele cha sherehe za miaka 36 tangu kuzaliwa kwa CCM, amewaasa wana-CCM kuendeleza mradi wa kuimarisha chama bila kutegemea ruzuku za wabunge kwa kuwa idadi ya wabunge wa CCM...
​Bungeni patamu!
Muda mfupi uliopita mama Anne Kilango amemaliza kuchangia hoja ya jinsi gani vijana wasaidiwe kupata ajira. Kama kawaida yake ameirarua serikali.Amesema kuna siku amesafiri...
kitendo cha wanaCCM kung'oa bendera za CHADEMA wkt wanapofanya mikutano yao ni mbinu chafu za kuitafuta CHADEMA kufanya fujo ktk mikutano yao ili CHADEMA ichafuke mbele ya Watanzania. Ni bora cdm...
Tanzanians want the new constitution to demonstrate that members of parliament have a first degree as minimum qualification to join the House, saying this will allow them to effectively carry...
Mkutano wa CCM wilaya ya Meatu umesambaratika baada ya nyuki kushambulia na kujeruhi watu wakiwamo viongozi wa CCM wilaya hiyo na wajumbe wa NEC.
Ndo tuseme ni laana au ni nini?mpaka wanyama na...
Sisi Vijana wa NCCR-mageuzi tunauungana na mwenyekiti wetu wa chama Taifa ndugu James Mbatia katika hoja yake binafsi ya Elimu aliyowasilisha bungeni, kwa kuongezea yafuatayo: Kimsingi suala la...
CHADEMA ikiongozwa na kamanda Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA taifa wamekabidhiwa kiwanja cha ekari 3 cha kujenga hospitali ya Mama na Mtoto. Hii ni utekelezaji wa...
Rate This
Imewekwa na hamed Mazrouy
Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa Cuf Juma Duni Haji akizungumza katika mkutano wa Hadhara wa Chama hicho.
Chama cha Wananchi CUF kupitia Mkurugenzi wake wa...
nilifuatilia vurugu za mtwara na mwitikio wa serikali katika kukabiri vurugu hizo.kwanza,ilipoonekana polisi hawatoshi kule mtwara mjini,walipelekwa askari polisi wa kutoka...
Katika hali ya kushangaza Mbunge mmoja aliomba taarifa kwa Mh. Job Ndugai jana jioni kuomba kutoa taarifa ya kuvuja kwa jengo la Bunge sehemu anayokaa yeye, Tundu Lisu na sehemu mbalimbali ndani...
Kijana mahiri shupavu na mwerevu. Chama makini chenye watu makini chenye kuelewa kutambua wakati, matukio na kupenda wananchi zaidi ya kitu chochote.
Tumemaliza ngwe ya kwanza sasa tunashambulia...
Maspika wa bunge la Tanzania wanabidi wajifunze kutoka kwa spika wa zanzibar mzee kificho yaani huyu mzee nimemwona akiongoza baraza ameweka ushabiki wa vyama pembeni na anaongoza baraza la...
Habarini wana jf. Kupitia maelezo mengi ya viongozi wa ccm na makada wao, huiaminisha jamii kuwa kwa vile ccm ni chama tawala,na ccm ndo inaunda serikali, basi wafanyakazi wa serikali wapo chini...
Kada wa CCM Paul Makonda anahojiwa ndani ya Star Tv kuhusu maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi. Mwanza yupo katibu mwenezi wa mkoa huo.
MADA; ''Je Nini mafanikio na...
Ndugu zangu,
Wanazuoni wa Kiislamu ni wenye kufahamu zaidi juu ya kisa kifuatacho nilichokipokea miaka mingi iliyopita. Hivyo, wanaweza kukiboresha zaidi.
Inasimuliwa, kuwa katika wakati wake...
Mwisho wa mkakati huo kwa kutumia mbeleko kabambe ya Polisi, iliishia kule Nyololo baada ya kifo cha Mwangosi.
Baada ya hapo CCM imeonekana kunywea sana -- na mkakati wao mpya wa kujieleza...
Leo ccm imeadhimisha miaka 36 tangu kuzaliwa. CCM sio tu inajivunia umri huo wa mtu mzima bila kusambaratika bali pia inajivunia kuwa madarakani kwa kipindi chote hicho, propaganda za ukabila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.