mdoe the thinker
Senior Member
- Dec 11, 2012
- 104
- 20
haya magamba mnaosema chadema wanakopeshana ruzuku
Tumeziona zipo 24,sasa kila jimbo zinaenda ngapi?
Mnataka kuuza mbuzi kwenye gunia? unauhakika gani kama zilizomo ndani ni pikipiki au bendera.huoni nyingine zinaungwa? Kutoka kwenye woodbox
Mnataka kuuza mbuzi kwenye gunia? unauhakika gani kama zilizomo ndani ni pikipiki au bendera.
Kwa kuwa hakuna idadi kamili na uongo ni sehemu ya maisha katika chama chenu.Chopa,Nissan Navara na ambulance mbili ziko wapi?na wewe una uhakika gani kama sio pikipiki ni bendera?
Chini ya ufadhili wa nani kipepe?Baiskeli pia zipo njiani zaja
magamba bwana!yani hata kuhesabu hayajui!
Kwa kuwa hakuna idadi kamili na uongo ni sehemu ya maisha katika chama chenu.Chopa,Nissan Navara na ambulance mbili ziko wapi?
Haya mambo ya chama yanahusu wanachama!we kaulizie idadi ya mafuta!We kaulizie idadi ya mafuta ya V8 ya Nape kwa siku!Kwa kuwa hakuna idadi kamili na uongo ni sehemu ya maisha katika chama chenu.Chopa,Nissan Navara na ambulance mbili ziko wapi?
ebu soma kichwa cha thread wacha magamba tujiachie.Haya mambo ya chama yanahusu wanachama!we kaulizie idadi ya mafuta!We kaulizie idadi ya mafuta ya V8 ya Nape kwa siku!
Hiko cheo alishanipora mzazi wako.mingoi mburula!
mingoi mburula!
Tumeziona zipo 24,sasa kila jimbo zinaenda ngapi?