Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa amesema kuwa yeye ndio 'top' na shida yoyote ikielezwa kwake,shida hiyo itakuwa imekwisha.Ameyasema hayo leo jioni alipokuwa akihutubia katika Shere za miaka 36 ya CCM zilizofanyika kitaifa mkoani Kigoma.
'Mimi ndio 'top'' alisema Rais Kikwete. Mheshimiwa Rais,namimi nataka kukueleza shida moja: mfumuko wa bei wa bidhaa muhimu za chakula ni mkubwa na unatishia hata uhai wa wananchi wako. Kwasasa kilo moja ya unga wa sembe ni 1400-1500,kilo ya sukari ni 2000-2500,maharage ni 2000-2500 na kilo ya mchele ni 2000-3000.
Naamini wewe ndiwe 'top' na utamaliza shida hii ya bei kwa sisi wananchi wako walalahoi...