Mbunge ni mtu mwenye heshima kubwa katika jamii. Kuna sifa nyingi anazofaa kuwa nazo mbunge. Miongoni mwa sifa sifa hizo ni umri wa miaka 21 nakuendelea, elimu, uzalendo, busara na mwana...
JUMAPILI, FEBRUARI 03, 2013 08:46 NA MWANDISHI WETU
*Lasema vita ni Lowassa, Membe na Magufuli
*Laitabiria Chadema kutwaa viti vingi zaidi
JARIDA maarufu duniani linalochapishwa katika mtandao...
Nimekuwa nikiona CCM kwakila event yao lazima watoke na nguo za michezo hata kama siyo tamasha la michezo au matembezi sasa napata wasiwasi!Ni uelewa mdogo kuhusu matumizi ya nguo au??
Mfano ni...
Nimekuwa nikimsikia sana huyu muheshimiwa akipenda sana kutoa matamko yake kwenye makanisa au afla mbalimbali ktk matukio ya kijamii.Mfano ni hili la Mh. Mbatia hapa juzi juzi ambapo alitolea...
IRINGA biashara ya NOTI BANDIA imeshamiri kila kona...Na inafanyika kwa uwazi mno..Cha ajabu askari wa jeshi la POLISI wanahusika moja kwa moja na hii kitu...
Kuna viwanda vya kutengeneza hizi...
KATIBU wa Uhusianao na Uenezi wa Taifa, kitego cha vijana wa NCCR-Mageuzi, Deogratius Kisandu ameitaka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali(CAG), pamoja na Ofisi ya Msajili wa...
MONDAY, FEBRUARY 4, 2013WILAYA YA MBEYA MJINI - MAUAJI
MNAMO TAREHE 03.02.2013 MAJIRA YA SAA 18:00HRS HUKO KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA. AMBOKILE S/O KIKWALE,MIAKA 16,MNYIHA,MKULIMA MKAZI WA...
Ndugu wana JF, mnakumbuka kamanda Esther Wasira alipojiunga CHADEMA alikuwa ameambatana na dada yake Lilian Wasira ambaye aliongea kwa ujasiri mkubwa. Tangia wakati huo kamanda Lilian hajaonekana...
Ni aibu kwa kweli kila siku jeshi la polisi linahubiri kwa wananchi kuto jichukulia sheria mkononi mkamate mwarifu mpeleke kwenye vyombo husika vya sheria. Tumeona kilicho tokea jana mbunge wa...
Nina hamu ya kuangalia bunge linavyoendelea Dodoma ila kisimbuzi ninachotumia local channels zinazokamata ni mbili tu Tbc na Channel Ten,ambapo Tbc ndio inaonyesha bunge
kwakweli ni aibu kwa...
Ndugu zangu,
Kama Bob alivyoimba ndivyo nilivyojisikia asubuhi hii hapa Dodoma;
" Rise up this morning, smiled with the rising sun"- Bob Marley
Naam, nimeingia Dodoma jana usiku. Leo asubuhi...
By Elisha Magolanga, Florence Mugarula
Dodoma/Kigoma. An exchange of blows between some ruling CCM carders and those of the main opposition Chadema almost spoilt the countrywide celebrations...
Si suala geni kuwa hawa ni wanasiasa vijana ambao aina ya siasa zao haipokewi vizuri na jamii. Hawa ni vijana ambao hata kama unakinzana nao kiitikadi ukweli unabaki pale pale kuwa wako katika...
Kiukweli viongozi wetu wanafanya kazi kwa kunyenyekea hasa kiongozi wetu Rais jk,leo tar 3 mh harison ambae mimi ndie na mheshim katika utendaji kazi wake,leo hii katika kushelekea miaka 36 ya ccm...
Zitto, naibu katibu wa chadema ambae hivi majuzi amewaaga wana wa chadema kigoma kaskazi baada ya kuongoza jimbo hilo katika vipindi viwili tofauti,taarifa za ndani sana zinadai sasa amerejea...
Jana katika mitandao tofauti ya kijamii kiongozi mmoja mwandamizi wa chama tawala ccm aliweka picha za watu waliohudhuria sherehe za chama huko kigoma ,kwa kichwa cha habari " hii ndio nguvu...
Wasalaam wana JF:
Ni kitu gani kinachokufanya ujivunie kuwa mwanachama wa chama chako cha siasa?(Ikumbukwe kuna vyama vingi sana hapa tz) na kila mtu anasababu zake za msingi zilizomfanya...
Hiki kituo cha Television cha taifa kwa kweli hakitutendei haki watanzania, tunajitahidi sana wakati mwingine tuachane nacho lakini ukweli ni kwamba kuna baadhi ya taarifa hasa matangazo ya moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.