Wosia wa Askofu Laiser: Simamieni Ukweli

Wosia wa Askofu Laiser: Simamieni Ukweli

Wambugani

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2007
Posts
1,757
Reaction score
277
Katika Ibada ya Mazishi ya Askofu Thomas Laiser yaliyofanyika Ijumaa, Februari 15, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe alisema kauli ya mwisho ambayo Askofu Laiser alimpa siku aliyomtembelea hospitalini kwake, Februari 3, ni kuwa asimamie ukweli daima kwani ukweli utamlinda.

Mbowe alitoa wito katika msiba huo viongozi wote waliofika kuendelea kuimarisha unyenyekevu na mshikamano ambao wameonyesha katika dhana nzima ya kujenga umoja na mshikamano wa kitaifa.

Alisema vi vyema ijulikane kuwa maisha na vyeo ni vya kupita na hakuna chama ambacho kitaongoza milele siyo CCM wala Chadema, hivyo hakuna sababu ya Watanzania kugombana.

"Hivi sasa tupo katika taifa lenye hofu, tunaomba viongozi wa dini watuongoze sisi wanasiasa na watuambie ukweli bila ya kuficha," alisema Mbowe. Alisema viongozi wa dini wanahubiri amani lakini pia ijulikane kuwa amani ni tunda la haki.
 
Wise words!mboye mh!mwenye cv yake tafadhali!ni zaidi ya dr.Fastjet
 
some were created to be leaders,big up sana chairman.
 
Yes, hayo ni maneno. Kama huo ni wosia basi una thamani ya dhahabu!

Kwangu mimi Mh. Mbowe is becoming even better and better by day. He's absolutely a top leader by any standard.
 
Back
Top Bottom