Matukio yanayo tokea zanzibar ni lengo la kupangawa na baadhi ya watu kutoka serekali ya ccm zanzibar na baadhi ya watanganyika sababu
munamo miamo miaka ya nyuma 2003- 2004 zanzibar kulikuwa na uripukaji ya mabomu na kwa kumbukumbu zangu bomu la mwisho liliripuka nyumbani kwa zuberi ali maulid aliyekuwa waziri wa mawasili na uchukuzi kwa sasa ni mbunge wa jimbo la kwamtipura
sasa cha ajabu mabomu yale yalikuwa yakitegwa lakini hakuna mtu aliye kufa
pili uchunguzi wake mapaka leo kimya watu hata hawakujuwa uliishia vipi na watuhumiwa walipatikana
wakati waziri wa mambo ya ndani akiwa ni omar ramadhan mapuri
pia wakati ule uamsho ilikuwa ikifanya mihadhara kwa hivyo ni kipindi ambacho shekhe faridi alitekwa kwa mara ya kwanza na kupigwa mikwaju kule paje
lakini cha ajabu baada ya kudhibiti wimbi lile basi mabomu yalisita kutegewe viongozi na uchunguzi wa polisi kufifia
sasa je wahafidhina na ccm tanganyika hivi ndivyo munavyo kamilisha mipango yenu ya uovu
kuwa watu wasio na hatia munaleta udini kufaidika na siasa