Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
CCM sasa wamebadilisha mfumo wa propaganda, sasa wanatumia mfumo ujulikanao kama POLITICAL STATUS, yaani
kila mwenye nguvu katika chama au serikali yao anatoa tamko lake kwa wakati tofauti na wengine wanalisapoti kwa wakati tofauti na kuonekana kilichosemwa ni kweli hata kama kiliasisiwa na upinzani.
Tatizo la upinzani ni moja tu, wenye nguvu hawatakiwi yaani POLITICAL STATUS inakuwa kwa mtu mmoja au wawili, hivyo inakuwa rahisi kuzidiwa nguvu na upande wa kwanza, ndiyo maana CCM wanaonekana wana nguvu kwa style hii lakini kiukweli ni wepesi ila Strategy zinatuangusha upinzani.
Bila kujali level ya uongozi wapinzani anzeni kushirikisha ngazi za chini za uongozi ili mpate nguvu ya kupiku ujinga wa CCM.