Padri Evarist Mushi, aliyekuwa Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili, Zanzibar aliwataja wauajiPadri Evarist Mushi, aliyekuwa Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili, Zanzibar aliyeuawa...
Mheshimiwa sana ametangaza matokeo ya kidato cha nne 2012 kukiwa na kiwango kikubwa kabisa cha kufeli daraja la kwanza la pili na tatu ni 25% ya watahiniwa wote. Inamaanisha kwamba zaidi ya 60% ya...
Kulikuwepo na bandiko humu kuhusu Roma Mkatoliki na wimbo wake. Nimemtafuta Youtube na baada ya kumuona nikaona niiweke hapa. Hakika watazamaji wake wanaonekana wametiwa hamasa na maneno ya wimbo...
Heshima mbele kwa wote.
Naomba mwanahabari au mtu yeyote mwenye speech yote ya Mh. James Mbatia aliyoitoa mbele ya waandishi wa habari ikiwa ni reaction yake mara baada ya matokeo ya Form IV...
Kumekuwa na maneno na tafsiri nyingi zisizo na mantiki na hoja nyingi zisizo na mashiko juu ya ama uwepo au kutokuwepo kwa jina la Mh. Edward Ngoyai Lowassa katika nafasi mbali mbali ndani ya...
Kufuatia taarifa za kufukuzwa kwake UVCCM ambapo ni wazi kwa hatua hiyo anaweza akachukua uamuzi wa kujitoa kutoka chama chake cha CCM na kutaka kujiunga na CHADEMA.
Mpaka sasa CCM na...
Mwanzoni mwa wiki hii waziri wassira alikutana na viongozi wa dini za Kikiristu na Kiislamu mkoani mwanza. Lengo la kukutana kwao lilikua kujadili suala la kuchinja wanyama wanaouzwa katika bucha...
1. Mwaka jana Jussa alijiuzulu nafasi za uongozi CUF
2. Sababu alizotoa ni kwamba anaimarisha harakati za kutetea Zanzibar kuwa 'nchi huru'
3. Tangu wakati huo hajasikika hadhani 'akitetea'...
Endapo kura ziki hesabiwa kwa uwazi na kuthibitika ccm imeanguka katika matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2015 itakuwa rathi kukubali matokeo hayo na kukabidhi madaraka ya nchi kwa chama kilicho...
Wakuu.
Mwenyekiti wa Taifa wa chadema, Mheshimiwa Freeman Mbowe yuko kwenye kipindi muda huu (live) kwenye kituo cha ''Barmedas Cable Station''.
Walioko Mwanza ni muda muafaka wa kulisha...
Dalili ya mvua ni mawingu na nyota njema huonekana asubuhi,nachelea kusema hivi mara baada ya jina la Dr. Salim jina lake kuteuliwa na kuwa mjumbe wa CC ya CCM,kikao chenye kufanya maamuzi ya...
*Lasema vita ni Lowassa,
Membe na Magufuli
*Laitabiria Chadema kutwaa
viti vingi zaidi
JARIDA maarufu duniani
linalochapishwa katika mtandao
wa intaneti la The Economist
Intelligence Unit...
Rais Kikwete ameelekea kuelemewa na changamoto za kuongoza nchi. Matukio yanayoendelea kutokea ni uthibitisho wazi kwamba NCHI IMEMSHINDA kuongoza
Tunashuhudia kuyumba kwa mhimili mkuu wa...
Meya wa CCM wa Ilala Jerry Silaa amekuwa akitumia ulaghai wa kuweka mabango kwenye kila kona ya karibu na lango la Ikulu.Mabango hayo yanasomeka hongera JK kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM...
Nchi imefika njia panda ambayo hatima yake kisiasa si kueleweka bali kutabilika.Chama CCM kilikuwa na mwitikio mzuri na watu walikipenda hasa kwa kubebwa na historia yake.Uzalendo ndani ya chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.