JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
Kigoma mjini ni miongoni mwa majimbo machache sana yalio chini ya CCM katika majimbo yote mkoani Kigoma. Jimbo hili liko chini ya Peter Serukamba tangu mwaka 2005-2010, 2010-2015.
Kwa hakika jimbo hili lilijulikana kama ngome ya upinzani enzi za Warid Aman Kabouru aliyesaliti CDM na kuamia CCM.
Hakika mkoa wa kigoma unastahili kuwa chini ya CDM kwani hata majimbo yote ya NCCR yangekua CDM kama isingetokea sintofahamu iliyojitokeza kabla ya uchaguzi.
ndugu Ally Mlay alijitaidi sana katika uchaguzi uliopaita jimboni Kigoma lakini hakua na mvuto wa kutosha kuwashawishi vijana. Hivyo basi mwaka 2015 naiomba CDM imsimamishe kijana mwenye mvuto atakaye pikwa vizuri, na ambaye ameishi na kuufahamu vyema mji wa Kigoma Mjini.
Meya wa Halmashauri ni CHADEMA kwa hiyo hakuna sababu ya kulipoteza jimbo hili.
Naomba wana Kigoma msikubali kumchagua Serukamba ambaye anawasusa na kuwasahau awapo bungeni. Jaribuni kumchagua mgombea wa chama kubwa CHADEMA, kwani hata halmashauri ya mji chini ya meya wa CDM imefanya mengi sana.Ikiwa ni pamoja na kuweka barabara za rami katika mitaa yote ya kigoma mjini.