Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,483
Kwanini tunatafunatafuna maneno jamani wakati kuna watu wengi wanasema songas ndio wanaosabotage bomba la gas kuja dsm kwasababu ya bifu lao?
inasemekana Songas walishawahi kuombwa kujenga bomba lile, wao wakafikiri sisi watz hatuna pa kwenda, wakadengua, tukapata hela na dili likaenda kwa wengine, wao walipoona tumepona hela wakaomba wapate lile dili, serikali ikawaambia kuwa tuliwaomba mwanzo mkadengua sasa mwafwata nini? chapeni lapa....hivyo tangu hapo wana wivu wa dili hilo la bomba la gas, na wamekuwa wakifadhili baadhi ya wanasiasa uchuro na wananchi wa mtwara kusabotage bomba hili.
utajiulizeje, bodaboda walikuwa wanapata wapi mafuta, wakati tunaambiwa walikuwa wanaenda kujaza mafuta kwenye vituo vya mafuta bure wakati wa fujo zile? kuna pesa nyingi zilimwagwa....kwanini songas wanataka kutuharibia dili au la wao walifikiri watapata dili si la hapa nchini bali la kusafirisha gas iende nje waibe vizuri kama wanavyosafirisha mchanga wazungu, kwasababu wanajua kama tukifua umeme hapa na kuuza gas viwandani na majumbani tutafaidi kuliko wao wangeuza nje ili watupige panga. Watanzania tutakuwa watumwa wa mabepari hadi lini?