Jakaya Kikwete alipochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano 2005 mwishoni, mwaka 2006, Januari, mwanzoni kabisa alitangaza Baraza la Mawaziri (ambalo hadi sasa ndilo pekee liliovunja rekodi ys...
Alhamisi, Februari 21, 2013 07:32 Na Mwandishi Maalumu
*Mkono wake unahusisha taasisi za kimataifa
*Rai lanasa CD ya video ya kulipa kisasi, kuua
*Orodha ya maaskofu wanaosakwa yabainika...
Na Mwandishi maalum | 23rd February 2013
Kashfa inayohusu mradi wa maji uliotolewa mfano wa mafanikio kwa Rais Jakaya Kikwete alipotembelea wilaya ya Igunga mkoani Tabora, umezua mjadala huku...
WanaJF,
Hivi karibuni mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) alihudhuria mkutano wa bodi ya IYDU ambayo yeye ni mjumbe, mkutano uliofanyika jijini Tirana...
Baada ya kufuatilia mjadala humu JF juu ya Mbelwa Germano kupigiwa chapuo na Bwana.Kisandu nilijaribu kufuatilia elimu yake. Taarifa niiyopata ni kwamba huyu dogo ana stashahada ya Tekonolojia ya...
WAKATI Watanzania kwa mamilioni wakiendelea kukosa huduma mbalimbali muhimu ikiwamo afya na njaa kutawala katika maeneo mengi nchini, imebainika kuwa viongozi wastaafu wanarundikiwa mafao...
Jana nzima na leo mjini Hai kulikuwa na matangazo katika magari ya vipaza sauti kuwa leo Jumaamosi kutakuwa na mkutano wa hadhara utakao hutubiwa na Katibu Mwenezi Taifa wa CCM Bw Nape Nauye...
Wanabodi
Katika kuonyesha CCM Hawakotiyari kwa Kawambwa Kujiudhuru kama anavyoshinikizwa, mda huu Mjumbe wa UVCCM TAIFA NA KATIBU WA CCM YUPO RADIO Mwangaza.
Anasema kitendo cha Heche kutaka...
huku kukiwa na wimbi kubwa la watafuta ajira hapa tanzania ,kunawatu tena wenye uwezo wamebuni na kuanzisha recruitment agency hapa nchini ila badala ya kuwa msaada kwa vijana wa kitanzania ila...
NYUMBA ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani imeponea chupuchupu kuchomwa moto na wananchi waliokuwa na hasira kutokana na kukatika maji wiki mbili mfululizo.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza alisema...
Kati ya watahiniwa 480,036, waliofanya mtihani wa kidato cha nne matokeo ni kuwa waliopataDivision One: 1,641; Division Two: 6,453; Division Three: 15,426; DivisionFour: 103,327; na Division Zero...
Katika kuperuuz nimekutana na hii document inayosomeka hivi Constitution of communist pary of china. Kuna mengi ya kujifunza, hasa sifa za mwanachama, namna ya kuwa mwanachama, imani ya chama...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeshauriwa kuanza kujiandaa kuondoka madarakani kutokana na kushindwa kuboresha maisha ya wananchi ambayo yanazidi kuwa magumu.
Kauli hiyo ilitolewa na Padre...
Nitumie Fursa hii tena Kumpongeza Mbunge wetu wa Ubungo na Mbunge wa Wa Tanzania woote kwa Ujumla, John Mnyika.
Kazi yako Bungeni kwenye Kikao kilichopita outcomes zake ndo zinaonekana kwa...
Wanabodi,
Nimefurahishwa na hii Habari ya Mbunge Nasari kushirikiana na Polisi kutoa mafunzo ya waendesha Boda boda Jimboni kwake, Pongezi kwa Polisi kwa kuona Siasa ni Maendeleo.
Source: Michuzi...
Wazee 2015 ni mwaka wetu, nawaomba wadau wa M4C elekezeni nguvu vijijini. Asilimia kubwa ya wapiga kura ipo vijijini na awareness si kama mjini, mjini tumemaliza lakini tuelekeze vijijini ambako...
Majanga mengi yanalikabili taifa ikiwamo mikataba feki ya kinyonyaji, utoroshaji wa maliasili nk.
Hivi sasa kuna hili la elimu. Tumeua taifa la kesho. Maisha ya taifa la kesho yameuliwa, na siku...
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Alhamisi, Februari 21, 2013 13:58
*Viongozi waendelea kufitiniana kupata urais, ubunge 2015
*Kinana aonya, akemea wabunge wasiokwenda...
sasa hv wanajadili kuhusu utaratibu wa urushwaji wa vipindi vya matangazo ya bunge...akisisitiza juu ya serikali iache ubepari wa kutorushwa kwa matangazo hayo live ili wananchi wasione...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.