Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Wazanzibari hawarudi nyuma katika agenda yao mbali ya vitimbi kadhaa. Maridhiano ya wazanzibari hayakutoka Dodoma na kuna kila ushahidi kuwa hayakupata Baraka za Dodoma. Maridhiano ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WANAJAMII F ibara ya 43(1) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania kuhusu malipo na posho za raisi anapostaafu kazi inatamka hivi "Raisi atalipwa mshahara na malipo mengineyo,na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi, ninayofuraha tena kuleta mada hii mbele yenu,ni nidra sana kusikia kuwa nchi inakuwa na walimu na madaktari wa mahakama. Kauli hii imesikika siku za hivi karibuni hasa baada ya matokeo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari yako Katibu Mwenezi wa ccm. Ni takribani miezi miwili imepita ambapo ulitakiwa kujitokeza na uujulishe umma kuhusu uhalisia wa familia yako baada ya Wenye Familia yao 'kukusahau' kwenye...
2 Reactions
59 Replies
9K Views
Ni wazi sasa chama kinakuwa kwa kasi na kimeongeza fusra nyingi za ajira kwa hilo nawapongeza sana. Ila ushauriwangu ni kuwa watanzania wengi kwa sasa hawana ajira kutokana na mfumo mbovu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa sababu sasa kuna kila dalili za Wakristo na Waislamu katika taifa letu kushindwa kuvumiliana na hivyo kuanza kuhatarisha hali ya usalama nadhani ni wakati muafaka kuwakumbusha waamini wadini...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Kwa hili, CHADEMA mmekurupuka. Bora hata Lowassa aliyemwomba Rais kuunda Tume. Badala ya kuitisha maandamano, undeni tume huru ya pamoja, kati ya walimu, wazazi na wanafunzi. Kuwe na tume huru...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
  • Closed
Kumekuwako taarifa zinazozagaa kwa kasi ya ajabu kuwa makarani wa tume ya katiba wanaodaiwa kuiwa ni wengi wa dini ya kiislamu wamekuwa wakichakachua maoni ya wanachi hasa wakristo wanaopinga...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
  • Closed
Kupitia mtandao wa twitter, mh.Zitto amesema inasikitisha members wa jf kujadili mauji ya kidini. Mh. Zitto amedai kuwa waliomua padri Mushi ni wauaji kama wauaji wengine na hata waliomua Imam...
0 Reactions
134 Replies
11K Views
Joto la kisiasa katika Nyanda za juu Kusini linaelekea kufika nyuzi ridi 100.Hii ni tathmini iliyofanywa katika mikoa minne inayounda eneo hili ambayo ni Mbeya,Njombe,Iringa na Ruvuma. Mara tu...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
BAADHI ya wazee wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamesema hawalitambui kundi la watu waliojiunga na Chadema wakidai kwamba ni viongozi wa jumuiya hiyo na kukanusha taarifa...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
  • Closed
Maaskofu jijini Mwanza wametoa tamko leo kupinga uamuzi wa serikali kuwaaelekeza wakristo kutumia ibada ya kiislamu ya kuchinja nyama na kusisitiza kuwa wakristo hawako radhi kutumia ibada ya...
7 Reactions
828 Replies
59K Views
Pamoja na Katibu wa Uhusiano na Uenezi Taifa/Kitengo cha vijana NCCR-Mageuzi,Ndugu.Deo Kisandu kutoa maoni yake juu ya mustakabali wa jimbo la Lushoto,na kunipendekeza kuwa Mgombea wa nafasi ya...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Katika moja ya hotuba za mwalimu Nyerere wakati tukiwa ktk kumtafuta rais wa awamu ya tatu alisisitiza tumchague rais mwenye sifa hizi ntakazozitaja hapa chini. Aliendelea kusisitiza kwamba...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana-JF. Imeonekana kwa muda mrefu sasa kuwa mambo mengi yenye matokeo hasi ambayo hayawezekani sehemu nyingi duniani, yanawezekana sana kufanyika nchini Tanzania. Jamii ya kitanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KAULI ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa kwamba hawezi kujiuzulu, imeamsha hasira ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambacho kimesisitiza kwamba...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
maamuzi ya kihistoria yaliyofanywa na wajumbe wanaotoka nyanda za juu kusini kuufanya mji wa Makambako kuwa makao makuu ya harakati za kisiasa na kuwa makao makuu ya Kanda ya Nyanda za juu kusini...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Added by confidential on Dec 30, 2012. Saved under Sports, Tanzania Godfrey Olukya Ahead of the official draw for the 2013 Orange Africa Cup of Nations (AFCON), African football stars and heads...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Waislamu na Wakiristo tuwe pamoja, tusiwape nafasi wahalifu wachache kutugawa. Badala yake tuunganishe nguvu zetu tuwabaini wakamatwe. Nia ya wahalifu ni kutugawa kwanza kidini ili wapate nafasi...
1 Reactions
2 Replies
862 Views
MAWAZIRI na watendaji wa wizara mbalimbali watakaokuwa wazembe, watachekechwa na kubaki wale ambao utendaji kazi wao ni bora, baada ya kuzinduliwa kwa mpango maalumu wa kupima utendaji wa kazi...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom