Wanabodi
Katika kuonyesha CCM Hawakotiyari kwa Kawambwa Kujiudhuru kama anavyoshinikizwa, mda huu Mjumbe wa UVCCM TAIFA NA KATIBU WA CCM YUPO RADIO Mwangaza.
Anasema kitendo cha Heche kutaka Kawambwa ajiuzuru ni unafiki na fedhuri. Amesema suluhu ya Matatizo ya Elimu Tanzania siyo kuwaandamanisha Wanafunzi, kwani kufanya hivyo ni kukosa maarifa ya suluhu.
Anasema, "pamoja na Tanzania kuwa na Mfumo usio na tija kwa watanzania kunatakiwa iundwe tume ya Marekebisho ya Msimbo wa Elimu.
Tatizo la watu kukosa fikira wanajua maandano ndiyo mwisho wa Matatizo, badala ya kutafta ufumbuzi wa mda mrefu.
Amesema Heche anaakili, lakni amekosa maarifa ya Mtizamo na maudhui ya kufanisha Mambo.
Hata hivyo amesema pamoja na Serikali kuchangia tatizo la ufaulu wa wanafunzi, chanzo kingne ni wazazi, utandawazi na Mazingira ya Kutolea Elimu.