Kikarara78
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,495
- 904
Wanabodi,
Nimefurahishwa na hii Habari ya Mbunge Nasari kushirikiana na Polisi kutoa mafunzo ya waendesha Boda boda Jimboni kwake, Pongezi kwa Polisi kwa kuona Siasa ni Maendeleo.
Source: Michuzi Blog.