Enzi za Mwinyi watu walisema serikali imeenda likizo. Kwa sasa mambo yanavyoenda TZ nahisi kuwa labda wakati wa Mkapa serikali ilitoka likizo ikaja kufanya kazi kwa miaka kumi bila kupumzika na...
TAHADHARI; NIMAKALA NDEFU KIDOGO,LAKINI NAOMBA USOMA HADI MWISHO
Umeme:
Ni janga la nchi kwa siku za nyuma, sasa na siku zijazo kwasababu hatujawekeza vya kutosha
na hakuna juhudi zinzofanyika...
Hatimayr serikali kupitia waziri mkuu pinda imekubaliana na lowasa na kukubali kuunda tume kuchunguza matokeo ya form four.
Tume itaanza kazi wiki ijayo na itahusisha wadau wote wa elimu ikiwemo...
Patriotism has been said to be an indispensable weapon in the defence of civilization against barbarism. Nothing defines barbarism better that the premeditated and internationally unacceptable act...
Ndg wana jf,
Taarifa rasmi ni kuwa kutokana na mabadiliko ya ratiba ya kutofanyika mkutano wa uzinduzi kanda ya Magharibi wiki iliyopita sasa mkutano huo unatarajiwa kufanyika wiki ijayo March...
Kutokana na juhudi za Kamanda Mawazo Alphonce alieko Mkoani Kagera kwa ajili ya M4C, jana jioni familia ya Kagasheki imehamia Chadema. Mdogo wa Waziri Hamis Kagasheki anaeitwa Mbubarak Kagasheki...
THE National Bank of Commerce (NBC) on Thursday announced the appointment of Ms Mizinga Melu, as its new Managing Director, with effect from May 20.
NBC said in a statement released in Dar es...
WAKATI MIMI NAMALIZA DARASA LA SABA, Wanafunzi wachache sana walikuwa wakifaulu na wachache zaidi (shule nyingi si zaidi ya watano) walichaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari!! watu walikuwa...
Bongo Radio Inakuletea kipindi cha Kipima Joto LIVE kupitia ITV: Mada ya leo inasema: KUOKOA ANGUKO LA ELIMU NCHINI. JE, NINI KIFANYIKE? Tusikilize sasa kupitia...
Baada ya CHADEMA kuiteka Nyanda za Juu Kusini kwa maandamano na mkutano mkubwa katika Jiji la Mbeya, leo ni zamu ya Kanda ya Magharibi katika Mji wa Sumbawanga, Rukwa.
Sumbawanga utakuwa ni...
Enock Mbwigane leo asubuhi wakati wa kusoma magazeti, alikumbana na title kwenye gazeti la jambo leo "CHADEMA yabadili mbinu ya kuingia ikulu". Akataka kuisoma halafu akasita kaliweka gazeti...
BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) linafanya mchakato wa kutafuta nembo yake ambayo itakuwa kielelezo cha vijana ndani ya chama hicho.
Taarifa kwa vyombo vya habari...
Ni siku moja kabla ya maandamano makubwa kufanyika kuelekea katika mgodi mkubwa wa dhahabu mkoani shinyanga wilayani kahama. maandamano hayo ya amani yatafanyika kwa ajili ya kupinga ubaguzi...
Gazeti ka chama tawala CCM wameandika kuwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanapanga kuifanya nchi isitawalike kwa kupanga maandamano nchi nzima.
Hii imekuja mara baada ya Mh. Mbowe...
Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godibles Lema juzi alikutana na wananchi wa kata ya nado kusikiliza kero zao,Lema aliwasili katika kata hiyo baada ya malalamiko ya wananchi wakidai diwani wa kata hiyo...
Ndugu zangu,
Kupitia kitabu chake Kusadikika, mwanafasihi Shaaban Robert anamwelezea mchwa anayekaribia kufa.
Kwamba huota mbawa. Hukiacha kichuguu . Yumkini ataruka juu sana. Atakwenda...
Ndugu wanaJF nimekuwa nikifuatulia kwa karibu sana jinsi waziri wa Nishati prof. Muhongo anapolidangaya taifa letu kuwa hakuna mgao wa umeme. Je anafanya hivyo kwa maslahi ya nani wakati nchi ipo...